๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐— ๐—ณ๐˜‚๐—บ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚ ๐˜€๐—ฎ๐˜ƒ๐—ฒ ๐˜€๐˜๐—ฎ๐˜๐˜‚๐˜€ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜‚๐—ฟ๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐˜€๐—ถ

๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐— ๐—ณ๐˜‚๐—บ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚ ๐˜€๐—ฎ๐˜ƒ๐—ฒ ๐˜€๐˜๐—ฎ๐˜๐˜‚๐˜€ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜‚๐—ฟ๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐˜€๐—ถ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,293
Reaction score
2,623
1_20260505_173807_0000.png


Wengi tumezoea Status zikikaa ndani ya muda wa saa 24 zinapotea kwenye Mtandao wa Whatsapp sio ๐Ÿ‘‹.

Whatsapp kuleta feature inaitwa Archive Status, inayokupa uwezo wa kuhifadhi zile status ambazo zinapotea baada ya kupostiwa ndani ya saa 24.

2_20260505_173808_0001.png


Hii ni feature ambayo kama ilivyo kwenye Instagram na Facebook unapo posti kitu kwenye Story Zina uwezo wa kujihifadhi kwenye upande wa Archive ikitokea unazihitaji Tena unaweza kuzipata.

3_20260505_173808_0002.png


Ambapo Mtumiaji atakua na uwezo wa kuhifadhi status zake kupitia archive Status na kuweza kuzitumia Tena hakihitaji, ni kama ilivyo kwenye Whatsapp business ambapo zinakaa siku 30 Kisha zinapotea.

Sasa inataka kuletwa kwa watumiaji wa WhatsApp ya kawaida kwa watu wa Android.
 
Nasubiri view once status hiyo ndio nita itumia sana mtu asiweze kusave picha yako wala ku secreenshot
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom