Mwenyekiti wa chama tawala cha ANC Cyril Ramaphosa anatarajiwa kuapishwa kuwa rais wa Afrika Kusini baada ya rais wa taifa hilo Jacob Zuma kujiuzulu.
Bwana Zuma alikuwa chini ya shinikizo kali...
Dar es Salaam. Upande wa utetezi katika kesi ya kuhujumu uchumi inayomkabili mfanyakazi mstaafu wa Shirika la Mafuta Tanzania na Zambia (Tazama), Samwel Nyakirang'ani (63) na wenzake sita umeiomba...
Ni wazi wabunge ndiyo walioshika usukani wa nchi kwa kutunga sheria maridhawa za kuongoza nchi yetu.
Iwapo wananchi wanawachagua ili wabunge wawawakilishe wananchi bungeni halafu hakuna...
Habari zenu wana JF
Nimetafuta sana mawasiliano ya PCCB online nimeyakosa. Kuna rushwa na matumizi mabaya nimeyanyapia katika halmashauri kadhaa nilitaka niwaripotie ili wakafanye uchunguzi zaidi...
Naomba niwasemee watoto wetu wanaosoma shule ya sekondari Bunazi iliyopo mkoani Kagera , Hii shule toka muhula huu uanze wanafunzi wanaosoma masomo ya lugha haswa Kifaransa hawajawahi kufundishwa...
Wadau,tumekuwa tukibadilisha baadhi ya vifungu vya Katiba yetu kila wakati kutokana na mahitaji au vifungu hivyo kupitwa na wakati.
Na 2014 palianzishwa vuguvugu LA mabadiliko ya Katiba...
Hatua hiyo imetokana na idara hiyo hivi karibuni kupokea malalamiko mengi kupitia kampuni na taasisi mbalimbali kuwa kuna watu wanapita kwenye ofisi wakijitambulisha kuwa maofisa kutoka uhamiaji...
Katika pita pita nimekutana na hii video ikimuonyesha askari Polisi kijana kabisa akipokea rushwa kutoka kwa dereva wa gari ndogo. Pamoja na hali ilivyosasa lakini mambo bado hayajabadilika...
Dar es Salaam. Mvua za wastani mpaka juu ya wastani zinatarajiwa kuanza kunyesha katika kipindi cha wiki ya kwanza ya mwezi Machi hadi Mei mwaka huu katika maeneo mengi hapa nchini.
Hayo...
Tanzania ya Mwalimu Julius Nyerere sasa inabadilika kwa kasi ya ajabu; unatoka kuwa nchi ya amani na sasa inagubikwa na matukio ya mauaji ya raia kila uchao.
Kibaya zaidi wanaouawa siyo vibaka...
Dar es Salaam. Bei ya hisa za kampuni ya uchimbaji wa madini ya Acacia imeshuka katika masoko ya hisa ya London (LSE) na Dar es salaam (DSE) ikiwa ni muda mchache baada ya kampuni hiyo kutangaza...
Wandugu
Hivi kwa nini hasa hii sekta bado mchango wake haueleweki ukianzia PATO la taifa(export)uzalishaji umeme,kwenye viwanda na pia kwa sisi watumiaji wa chini kwanza bei yake siyo rafiki kwa...
Amani ya bwana iwe nanyi wana JF
Katika kipindi hiki cha kwaresma nimeona ni vyema tukafanya tafakari ya muenendo wa kisiasa katika Taifa letu. Tafakari yangu haitaongozwa na Waraka pendwa wa TEC...
Bado sifahamu kazi ya USALAMA WA TAIFA ni nini hasa?
watu wana tekwa, wanateswa na kuumizwa vibaya, maiti zinaokotwa Coco beach ni aibu hata kuzungumzia.
Ni nini kazi ya USALAMA WA TAIFA...
Habari Jaji Mkuu,
Kwa heshima na taadhima napenda kuchukua hatua hii kukujulisha kuwa kitengo cha mashauri ya kazi mahakama kuu inachelewesha mashauri sana,sana hasa ukizingatia kuna kesi nyingi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipakwa majivu wakati wa ibada ya Jumatano ya Majivu katika kanisa la Mtakatifu Joseph na Padri Venance Tegete jijini Dar es salaam...
Asalaam aleykum!
Wahenga sipendi kuwachosha sana wala lengo la uzi huu sio kujisifia kwani naamini kuna watu wana uwezo mkubwa sana wa kifedha na huu mwaka wameunza kwakufanya mambo ya mamilioni...
Miundo mbinu katika nchi yetu imekuwa ni changamoto ambayo wengi wetu tumeizoea tayari..kupanga miji mapema kabla ya watu hawajaanza kuingia kwenye maeneo na hata barabara.katika barabara hizi...
Mfuko wa afya wa bima ya afya wameleta mabadiliko ambayo wengi hatukutarajia, sijajua shida ni uchumi kuwa mbaya au sababu ni nini haswa.
leo nimetoka hospitali kutibiwa nikatoa kadi yangu...
Salam wadau wa jf
Kauli ya vyuma vyuma vimekaza ilivuma sana siku za hivi karibuni ikichagizwa na kauli pacha ya pambana na hali yako lakini observation yangu imeprove tofauti kabisa
Mwanzoni mwa...