HIFADHI YA JAMII KWA WOTE
Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inaendesha zoezi maalumu la kuhakikisha Wanachama...
Asubuhi pale Kimara terminal huwa kuna hali mbaya ya msongamano wa abiria kuanzia kwenye kukata tickets hadi ndani kwenye kupanda ni kama vita vile abiria wanvyosukumana kupanda magari.
Sasa leo...
Kwa nchi kama yetu Muda huu najua wengi tuko bize na Google katika ku drive apps kama Instagram facebook WhatsApp na ubize mwingi kwenye smartphone, tujue tunapoteza muda sana kuongeza wigo wa...
Mgeni rasmi atakuwa mh Anthony Mavunde ambaye ni Naibu Waziri wa kazi ambapo maDJ wataomba shughuli zao zitambuliwe rasmi na serikali na kuheshimiwa. Pia wataomba kuanzia sasa Djs wawe wanapewa...
Nimekuwa nikifuatilia sana nikaona maajabu ya duni!!mtumishi Wa umma akifukuzwa au kupewa adhabu yoyote ile kuna watu wanakuwa na maswali pengine na gadhabu kuwa kwa nini mtumishi huyu...
Mhariri wa gazeti la Dira ya Mtanznia, Musa Mukama na mwandishi wake William Kapawaga, na meneja wa gazeti hilo Abiudi Mangera, wamekamatwa na Polisi muda huu na wanapelekwa Kanda Maalum ya...
Nimetembelea 'site' mbalimbali na kuona namna maadili ya utu na hata taratibu za kuandika habari zikikiukwa, hasa kuhusu haki na thamani ya watoto wadogo.
Tangu jana habari ya kukamatwa na...
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Rita, Emmy Hudson
Hayo yalibainishwa jana na Kaimu Mtendaji Mkuu wa Rita, Emmy Hudson, wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Prof. Sifuni Mchome...
Habari ya Pasaka wana JF?
Kwa muda mrefu sasa hili gazeti la Tanzania daima halipo online na ukifungua website yake inasema under mantainance. Ningependa kujua nikweli kuna matatizo kwenye huo...
Tundu Lissu wa Chadema amethibitisha kwamba anazo taarifa na nyaraka mbalimbali ambazo amepewa na baadhi ya watu wanaoaminika kwamba ni watumishi wa serikali.
Tundu Lissu amepewa nyaraka hizi na...
Radio one hapa, kaimu meneja wa TCRA na mdau Maxence Melo wanaongelea mitandao, fursa ilizokuja nazo na matumizi sahihi wa mitandao ya kijamii. Naona baada ya nyepesi nyepesi watarejea..
======...
Huwezi kuamini kile kilichokuwa kinatokea katika maeneo ya Mkoa wa Pwani ambacho kimeacha vifo vya wananchi zaidi ya 40 kwa sasa imekuwa ni historia!
Mantiki hii imenikumbusha kauli mbiu ya JWTZ...
Mazishi ya Sr Mary Fidesta yatakuwa Saturday February 17th 2018 Arusha. There will be arrangements to travel from Dar to Arusha. We have hired buses. FAIR IS 56,000 SHILLINGS.
PLEASE CALL...
Wakuu,
Niliaga kuhama nchi kulingana na mazingira ya Tanzania kua magumu na biashara kuyumba kulingana na kodi kubwa.
Kiukweli nilichelewa kuja Zambia ilitakiwa nije 2015 kabisa, hapa nimegundua...
Wakuu habari.
Jana nimekaa zangu hapa geto sina hili wala lile, ghafla nikaona kwenye simu yangu ile text nzuri kuliko zote duniani( Imethibitishwa umepokea.....) imeingia kwenye simu yangu...
Habari wana JF,
Nipo kwenye gari na abiria wenzangu tunasafiri gari ipo kwenye mwendo wa kasi na dereva anajitahidi kulicontrol na abiria wanafurahia uwezo wa dereva anavyoendesha ila kwa uzoefu...
Niko Morogoro kwa zaidi ya wiki moja sasa, hali ya hewa ni tofauti kabisa na ilivyokuwa miaka kumi na tano nyuma. Nakumbuka wakati ule muda kama huu hakukuwa na joto kiasi hiki, Hali ya hewa...
Introduction ya smartphone nchi maskini kama hii bila elimu na umuhimu wa matumizi ya smartphone itatuletea shida miaka ya baadae.
Maana kila biashara yake inafaida na hasara.
1.Maana wanafunzi...