Serikali imekuwa ikilipa mishahara tarehe 22 kila mwezi Leo hii tarehe 23 mishahara ya watumishi wa serikali bado hii wazi kuwa Hali ya uchumi nchini ni mbaya sana wananchi tuichangie serikali...
Nimesoma Waraka wa MAASKOFU Mara mbili, nikarudiamara ya tatu.Kwanza nianze kwa kukupongezeni kuwa mumetimiza wajibu wenu wa kutumia demokrasia ya uhuru wa kujieleza sawasawa Katiba ya Jamhuri ya...
Jeshi la polisi Morogoro limewakamata watu wawili ambao wanadaiwa kuwa ni watekaji wa watu na kujihusisha na matukio ya ubakaji kisha kuwapiga picha za utupu waliowafanyia vitendo hivyo kwa lengo...
Imenishangaza kwamba kuna wananchi wanataka maamuzi ya kufungia vyombo vya habari yaende kuwa justified na serikali mahakamani.
Nashangaa kwa sababu magazeti yanafungiwa kwa mujibu wa sheria...
Jamani tangia juzi nimekua nikiwatolea povu wanaojifanya wananitumia sms zinazohusiana na masuala ya uganga.
Mpaka naandika hapa nimeshamtolea mtu povu na kunitishia kwamba anataka kuniroga tumbo...
___________
Ukisikiliza vizuri hii interview, utagundua kuwa, ROMA amebakiza robo kuusema ukweli juu ya tukio la kutekwa kwake.
Kwamba, maswali yalihusiana na nini? Anadai, maswali yalihusu...
Naona kwa sasa imeshakuwa rasmi vazi la suruali kuvaliwa na wanawake, si jambo la kushangaza tena kama ilivokuwa zamani.ningependa kujua bado kuna wazazi wanalishikia bango hili jambo.
Wadau kuna ofisi nilikuwepo nikakutaa katika ofisi hiyoo kuna jamaa ana diploma na ndio mkuu wa idara akiwaongoza watu wenye degreee .
Yaani nimeshangaa kuona mtu mwenye diploma ana cheo cha juu...
Imekuja habari ya kushtukiza ikidaiwa imetoka barza la mitihani tanzania (NECTA) kwamba shule zote za sekondari WILAYA ya Uyui ziache kupiga picha (huku tayari wakuu wa shule wakiwa wameshatafuta...
Inaumiza sana Unatafuta kazi af mdada wa mapokezi anakutolea maneno ya kukukatisha tamaa tena hata bila ya kukuruhusu kuonana na boss. Sijajua wote ndio wanafundishwa hivi kwenye vyuo vya hizo...
Nikitazama vyombo vya habari vya kimataifa au hata hapo Kenya tu, naona utofauti mkubwa sana. Mwandishi anapoamua kuandika anafanya research ya haraka haraka na kuangalia zaidi nafasi ya jamii na...
''Kazi hii haitakiwi kulala, inahitaji ukweli, kuwafundishwa, kuwaelimisha Mahujaji pia kufanya kwa ajili ya radhi za Mwenyezi Mungu ili mambo yote yaende sawa" amesema Shekh Zubeir.
Muungwana
KESHO J3: Ni siku ambayo Yuda anajitoa maalum kabisa kwenye Jumuiya Ya mitume na anaanza mpango wake Kabambe wa kumuuza Yesu.
J4:- Ndio siku ambayo Yuda atatimiza mpango wake na atakabidhiwa...
Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Charles Mkumbo amepata ajali katika eneo la Mdori mkoani Manyara baada ya gari alilokuwa akilitumia kusafiria kupasuka gurudumu 'tairi' ya nyuma na kupoteza...
Ninajua kuwa tuko kwenye hatua za mwisho mwsho za kukamilisha Bajeti ya 2018/19 ili ipelekwe Bungeni kujadiliwa na kupitishwa na Wahe.Wabunge. Ninamuomba Mhe. Waziri wa Fedha na Mipango kuwa ili...
Polisi mkoani Shinyanga wanamshikilia mzee mwenye umri wa miaka 90, Kachuka Malongo kwa tuhuma za kubaka wanafunzi watano wa Shule ya Msingi Tinde, Wilaya ya Shinyanga.
Akitoa taarifa kwa vyombo...
Katika ibada iliyofanyika leo ya siku ya mitende makao makuu ya kanisa la Full gospel bibla fellowship,utukufu wa Bwana umeonekana kwa namna ya ajabu sana
Katika ibada hiyo amewataka watu wote...
Habari zenu ndugu zangu na watu wa Mungu mliopo humu JF, Kwa uweza wa Roho Mtakatifu Leo ninevuviwa kuleta ONYO hili kwenu na kwa watu wanaosababisha watu kutokwa Roho, kwa kuwapiga risasi,kutoa...