Just stay calm! Extraordinary moment a cheetah jumps INSIDE safari jeep in Tanzania as terrified tourist tries to stay calm
Britton Hayes was on a safari tour when a cheetah climbed into the jeep...
Ni nani ambaye anaweza kusema ukweli hata tu kwa siku 7? Yaani kuanzia asubuhi mchana jioni mpaka usiku kwa siku zote 7 unasema ukweli wa hali halisi iliyopo!
Mm tu hapa labda niwe nimelala...
Napenda kuwasilisha maoni yangu kuhusu dhamana ya viongozi wa CDM hasa kupewa dhamana na kuambiwa waripoti Central Police kila alhamisi, Mahakama ni mhimili unaojitegemea, sidhani kama ni sahihi...
Habari za muda huu ndugu mwanaJF. Bila kupoteza muda wako niende kwenye udadisi wangu.
Kwa kawaida sticker za insurance/ vehicle inspection na nyingine ambazo ni requirement by law huwa...
Nimejiandikisha katika kijiji cha Bungoma, kata ya Mkindo, wilaya ya Mvomero, mkoa wa Morogoro.
Nahitaji kufaham ni lini tunavipata vitambulisho vya taifa?
Maana nahitaji kusafiri kuelekea nnje...
Yesu Kristo alidhihirishwa ili azivunje kazi za shetani. Yesu ndiye njia, kweli na uzima. Mtu haendi kwa Mungu ila kwa njia ya Yesu.
Aliuchukua udhaifu wetu, alichubuliwa kwa maovu yetu, na kwa...
Kuna hili gazeti lenyewe haliguswi na maadili ya uandishi wa habari wala sheria ya vyombo vya habari, wanaandika tu wanavyoona inafaa...Tanzania ya Magufuli haipendezi hakika
Kangura la Rwanda...
UKITAZA MALENGO YAKO UNAONA NINI?
Unapotazama na kufikiri juu ya NDOTO na MALENGO yako unaona nini? Ni maswali gani yanakujia kichwani kwako unapoitazama ndoto yako? Je wewe ni mmoja kati ya watu...
Habari ya pilika wana JF wenzangu
Leo Tarehe 30/03/2018 naomba mnisaidie kupaza sauti ya kilio cha wakazi wa mjini kasulu kama walivyonitonya
Kumekuwa na Jambazi mmoja raia wa Nchini Burundi...
VIONGOZI WA DINI KUINGIA WOGA HATA KUSEMA UONGO*. Dini hazijaanza jana, wala siasa hazijaanza jana. Kwa Wakristo Wakatoliki, kwa woga, watu wanafuja vipaimara vyao na sakramenti ya Daraja...
Kipindi hiki nyimbo zinazotamba ni bolingo+Remi ongara
Enzi zile MTU akiumwa kila MTU anajua
Familia nyingi ziliteketea
Wachache sana walinusurika wengi walikufa kipindi kile...ukiupata lazima...
Leo kuna mkutano mkuu wa BAKWATA kule Dodoma ambapo mambo mbalimbali yatazungumziwa
Waziri huyo wa TAMISEMI anahutubia juu ya mambo mema yaliyofanywa na serikali yetu.Mambo hayo aliyosema hakuna...
Amani iwe nanyi wanaJF
Nimeishi Morogoro kwa miaka mi3 enzi hizo nasoma chuo kikuu Sokoine(SUA) miaka ile nikiri tu kwamba hali ya hewa ya morogoro mjini ilikua safi sana
Hivi majuzi nimerudi...
Baadhi ya Wananchi wa mtaa Nyakabale Kata ya Mgusu kwenye halmashauri ya mji wa Geita ,wamegoma kuuzika mwili wa Bw ,Zacharia Shaban na kuutelekeza nyumbani kwa Mwenyekiti wa mtaa huo, Bw Elias...
Habari wana Bodi.
Nimeona ni vema nikiweza lisemea hili, labda linaweza toa ufumbuzi na unafuu kwa watu wengine pia.
Swala la manunuzi kwenye mitandao, inabidi litazamwe kwa jicho angavu maana...
Ilikuwa meli ya ki british ya kusafiria abiria ambayo ilizama kaskazini mwa bahari ya atlantic 15 april 1912 ikitokea southampton kwenda new york city
Kulikua na abiria takribani 2224 na...