Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

jamaa hawaujui wimbo wa taifa aibu tupu.jamani heee
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe alipoenda leo kuaga na kutoa heshimu za mwisho kwa Marehemu Franklin "Kizzo" Ndosi. Pichani ni Mbowe akimpa pole Mama wa Marehemu
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Declaration of interest. Nampenda sana Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Ana haiba ya kipekee kama mama na kama mwanamke. Nikimtizama na jinsi...
10 Reactions
187 Replies
24K Views
Kiukweli hawa jamaa wa continental ni wa ajab sana cjapata kuona dunia hii toka iumbwe. Mwenyezi mungu kaumba dunia toka zama za adam na eva na tumepita karne nyingi mno ila hii karne dunia nzima...
14 Reactions
102 Replies
16K Views
Ajali ya City Boy Igunga mchawi wa nini? badala Ajali hii imeelezwa kisababishi ni kuwepo kwa shimo kubwa lililo kuwa barabarani. Haya ya wanaoitisha adhabu kwa madereva hali wahusika wa hali za...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wahusika TANROADS Dar es salaam. Juzi huko Wilayani Igunga Basi la City Boy liligongana uso kwa uso na Fuso ambapo hadi sasa Watu 12 wamethibitishwa kufariki Dunia, nimesoma chanzo ni mashimo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni mwanafunzi katika chuo cha ualimu Tabora mwaka wa kwanza ila nimekosa ada laki tatu. Nilikuwa nadaiwa laki tano ila nimeangaika mtaani nikapata laki mbili. Nisaidieni jamani maana hali...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Jeshi la polisi na wana usalama wasaidie hawa watoto wauwaji, waporaji, wakabaji, waonevu na wavuta madawa/bangi. Hivi vitoto vikikukuta hutajua nini kitafanyika. uanaomba ulinzi makuburi ubungu...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Kaya arobaini na tano hazina mahala pa kuishi baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo kuezua paa za nyumba na kuharibu zaidi ya Hekta sabini na nane za mashamba katika Kata ya Kasambya Wilayani...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wote tutakua tunamfahamu huyu dogo,sijajua vigezo vinavyotumika kuteuliwa kwa vijana kuwakilisha katika hizi nafasi.Sitaki kutuhumu mtu pendekezo langu tu huu uteuzi utizamwe kwa upya!!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nilikuwa Mahakamani kuna mzee mmoja amewasilisha rufaa yake Mahakamani hapo, cha ajabu eti Jaji Mfawidhi na Msajili wamekataa kuipokea kwa madai eti amepeleke maombi nje ya muda ili hali digree...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimefanikiwa kupima eneo langu la makazi, taratibu zote nimetumia hela zisizohesabika, tangu zoezi lianze mpaka leo ni takriban miaka miwili na nusu taratibu zote zimekamilika, manispaa...
0 Reactions
2 Replies
846 Views
Wakuu baada ya serikali ya wanyonge kuamua kutunyongea mbali bila huruma hasa kipindi hiki wanachojua kwamba biashara na kampuni nyingi zinapunguza wafanyakazi na nyingine kufungwa kabisa, na huku...
0 Reactions
0 Replies
488 Views
Jamani mi sijaelewa hivi hawa watumishi wenye vyeti wana mda gani wamefukuzwa ? mbona utetezi kama huu haujawahi kutokea kipindi kile wamefukuzwa ? je kipindi hicho hawa wabunge waliomaliza darasa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, Mwaka 2013 nilichoma chanjo ya yellow fever nilipokuwa nasafiri, mwaka huu nimepata safari pia, je? natakiwa nikachome tena yellow fever au ile ile niliyochoma mwanzo naweza kutumia cheti...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Muda huu naenda mwanza Security machine kwenye cheki point inatumika moja tu zingine hazina wafanyakazi ni usumbufu mkubwa, mnamwangusha Mbarawa acheni kufanya kazi kwa mazoea,Naomba wahusika...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Tunatakiwa tusome alama za nyakati, hii ilikua mwaka jana mwishoni, serikali ya India ilishindwa kuendesha shirika kubwa la ndege ambali limekuwepo zaidi ya miongo mitano, nakumbuka miaka ya...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Tujadili kama hoja isiyoegemea upande wowote... Kwakuwa kuna mengi yameachwa bila kujadiliwa...kwa pande zote mbili kuhusiana na tarehe 26/4 Ni kama vile kumepoa kidogo baada ya misuli kutunishwa...
5 Reactions
55 Replies
4K Views
Ni muda mrefu sasa wanatangaza baada ya siku 15, siku hizo zitafika lini hata leo wametangaza baada ya siku 15. Kwanini ving'amuzi vyote vinafanya kazi vizuri, na cha continental tu ndio kina...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Kwa wale tunaoamini katika matendo makuu ya Mungu hatuwezi kuhoji uumbaji wake yeye pekee ndio anajua kwa hakika kwa hapa alifanya hivi na pale vile Mungu hahusiki na tafsiri za kibinadamu...
39 Reactions
109 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…