Ajali City Boy Igunga Kisababishi na Mashimo Barabarani

Ajali City Boy Igunga Kisababishi na Mashimo Barabarani

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,775
Reaction score
46,062
Ajali ya City Boy Igunga mchawi wa nini?
badala
Ajali hii imeelezwa kisababishi ni kuwepo kwa shimo kubwa lililo kuwa barabarani.

Haya ya wanaoitisha adhabu kwa madereva hali wahusika wa hali za barabara wanajulikana nia yao ni nini?

Nchemba na mnaoitisha adhabu kwa madereva badala ya wahusika, mjitathmini.
 
Back
Top Bottom