Wizara ya Ardhi mnakaa na hati zetu muda mrefu kwanini?

Wizara ya Ardhi mnakaa na hati zetu muda mrefu kwanini?

pombe kali

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
312
Reaction score
616
Nimefanikiwa kupima eneo langu la makazi, taratibu zote nimetumia hela zisizohesabika, tangu zoezi lianze mpaka leo ni takriban miaka miwili na nusu taratibu zote zimekamilika, manispaa walipomaliza sehemu yao wakasema wanaipeleka kwa kamishna wa ardhi yaani wizarani kisha kwa msajili sasa ni mwezi wa sita hivi hawa watu wanalipwa mshahara kwa kazi gani?

Jumatatu nitaenda tena nitabeba vifaa vyangu vya kurekodia sauti kisha ntakuja na mrejesho hivi vita vya mtandaoni havijawahi kumuacha mtu salama.
 
Mwshowe unaambiwa eneo lako linamilikiwa na mtu mwngine
 
Hao ni mchwa watakumaliza na usifanikishe kitu
Na sidhani kama utapata jibu la kuridhisha
Tunasubiri hapa hapa
 
Back
Top Bottom