Mahakama Kuu Dodoma wakataa kupokea rufaa

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
Nilikuwa Mahakamani kuna mzee mmoja amewasilisha rufaa yake Mahakamani hapo, cha ajabu eti Jaji Mfawidhi na Msajili wamekataa kuipokea kwa madai eti amepeleke maombi nje ya muda ili hali digree kapata ndani ya muda. Kawambia kama wakili kakosea nikishindwa ni juu yangu wamekataa katakata. Mwenye rufaa kasema Mahakama hii inataka kunidhulumu haki yangu.

My take
Mahakamani bado kuna dhuluma sana bado sana watu wanalalamika mafaili kupotea.Mahakama zinaharibiwa na makarani na mawakili wazoefu mahakamani.
 
Back
Top Bottom