Wiki kadhaa zilizopita niliandika ya kwamba sakata la Abdul Nondo litawavua nguo serikali na jeshi la polisi na hakika inaenda kutimia. Leo mwandishi mzoefu Luqman Maloto ameandika machache kuhusu...
Kipindi cha hivi karibuini nilitembelea mikoa kadhaa tofauti tofauti mijini na vijijini, katika Zungukazunguka angu nililjifunza mambo mengi sana mabaya na mazuri jambo zuri kuliko nilijifunza...
Kama wangekuwa ni wajanja na wangekuwa na nia ya kutikisa nchi basi kwa maoni yangu wangewashika Bongo flava na Bongo movie hao ndiyo ambao wangeweza kuamsha halaiki ya Watanzania na kuingia...
Kwa asilimia kubwa wabongo tunatumia mitando ya kijamii kutukana (hasa kipindi hiki cha Magu), kutupia picha za hovyo, kujisifia kwa kutupia mapicha kwenye facebook/insta (mfano mtu kila akivaa...
Mimi ni mpangaji wa muda mrefu hapa kwenye hii nyumba... Nilikuta nyumba haina umeme na mwaka 2004 niliweka umeme... Sasa miaka hii ya karibuni ilivyokuja kuenea luku nimepewa mita ya luku ambayo...
Mahubiri ya leo Kanisa la KKKT Olasiti
Mwinjilisti Moses Malugu amesema alionyeshwa katika ulimwengu wa roho nyoka mkubwa amejikunja sawasawa, katikati ya mkunjo wa yule nyoka kuna shimo, na...
Ndg wana JF habari za weekend?
Baada ya spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Ndugai kufafanua juu ya Bunge kushindwa kugharimia matibabu ya Mhe Tundu Lisu Nje ya Nchi
Ni ukweli...
Nimejaribu kuchanganya na zangu baada ya kuambiwa sana. Nilichokuja kugundua ni kuwa, wengi wetu tulikua tunategemea matunda kabla ya kupanda au baada tu ya kupanda mwembe.
Ili ulile embe...
Ndugu zangu ssaimekuwa tishio. Kwa wiki moja sasa shillingi ya Tanzania imeporomoka sana dhidi ya dollar ya Marekani. Serikali mko wapi mkiona hali hii ikiendelea hivi?. Wakati wa Professa Ndulu...
Maonesho ya polisi mjin arusha wamefeli kulipua bom walilotega wenyewe kwenye maonesho imebid jamaa aende tena na manguo yake ya kuzuia mabomu.. ngoja tuone
Hapa nimepigwa ban lakini sijui kosa langu ni lipi. Alafu nimeshaona siku hizi hamtaki post zinazokosoa serikali. Uzi wangu wa mwisho niliouweka humu ni kuhusu walimu ambao hawakuchangia mwenge...
Wanaume wa Dsm wameshindikana sana!
Unakuta mtu mzima kabisa anazurura na mtoto /watoto wake bar. Mbaya zaidi huko bar unakuta ana mamichepuko yake na marafiki zake wahuni wanaotukana hovyo na...
Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA leo imetoa hukumu kwa vituo viwili vya radio Times FM na Clouds FM kwa makosa ya ukiukwaji wa Kanuni za Utangazaji za mwaka 2018.
Times...
Watangazaji Soudy Brown na Kwisa wamedai wao ndio walimuibua mzee Jumanne Ngoma kutokea kwa wajukuu zake huko Kimara Bonyokwa kupitia kipindi chao cha Shalawadu. Watangazaji hao wamemshukuru Rais...
Sasa ,,prophets of doom” wamejaa kwenye Mitandao kupinga na kukejeli SGR yetu kwamba ni bure, Shirika letu la Ndege tunatupa fedha, hii inanikumbusha wakati BRT inajengwa hawa prophets of doom...