Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mods tafadhali msihamishe au kuunga uzi hili ni jambo linalolenga jamii kwa ujumla Kwa masikitiko makubwa, nimewahi kuzika baadhi ya pets wangu kwa namna yangu mwenyewe. Kwa kweli nilitamani sana...
7 Reactions
113 Replies
1K Views
  • Redirect
Mahakama ya kijeshi nchini China imewahukumu kifo mawaziri wawili wa zamani wa ulinzi baada ya kupatikana na hatia ya rushwa na matumizi mabaya ya madaraka. Hukumu hiyo ilitangazwa Alhamisi...
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema hakujua kuwa alikuwa anakutana na tajiri wa Zimbabwe Wicknell Chivayo, anayesakwa nchini Afrika Kusini kwa tuhuma za utakatishaji fedha.
1 Reactions
– Replies
– Views
Anonymous (396c)
Habarini wakubwa. Kulingana na mnyumbulisho wa kodi na tozo za mafuta yanayoingia nchini, bado namuona TASAC anachukua Tsh 3/= kwa kila lita kwa kazi ipi hasa? ..Kumbuka TASAC alipewa majukumu...
8 Reactions
20 Replies
467 Views
Kauli za kihunihuni bungeni zimekuwa nyingi sana utafikiria bungeni magetoni kwao bunge linatakiwa kuheshimiwa sana Bunge la awamu hii ni la ajabuajabu limejaa wahuni wahuni tu kazi kicheka hovyo...
1 Reactions
6 Replies
244 Views
Wakuu, msikilizeni wenyewe mwandishi huyu mkongwe katika tasnia ya habari hapa Tanzania akieleza kuhusu kupotea kwa mwandishi wa habari Azory Gwanda na Ben Saanane, pamoja na athari ambazo matukio...
2 Reactions
3 Replies
276 Views
tokea masaa 5 Dar es Salaam. Zaidi ya mabasi 150 ya mwendo wa haraka (mwendokasi) yaliyoletwa kwa ajili ya kutoa huduma katika barabara ya Mbagala, yamekaa kwa zaidi ya nusu mwaka bila kuanza...
2 Reactions
6 Replies
372 Views
Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 48 ajulikanaye kwa jina la Everist katika Kijiji cha Katangara, Wilayani Rombo, Tarafa ya Mashati amefariki kwa kujinyonga muda mfupi baada ya kuchoma moto...
3 Reactions
13 Replies
406 Views
Pumzika kwa Amani Temba ndio umekufa kifo cha kikatili sana sidhani kama uliwahi kufikiria utakufa kifo cha kikatili hivo. Poleni sana wana familia wa Temba Mungu awe faraja kwenu kipindi hiki...
11 Reactions
36 Replies
781 Views
Jana Jumanne bhana nikaamka na dhamira moja—kutafuta ukweli kuhusu ufadhili wa MEXT wa Japan. Nilikuwa na ndoto ya kuwasaidia vijana wangu wanne kufungua milango ya elimu ya kimataifa. Safari...
17 Reactions
134 Replies
2K Views
Naomba radhi kwasababu kuna mechi zilishapita kabla sijaweka muongozo huu. Muongozo ni huu: Arsenal ata tinga kwenda fainali za mabingwa wa ulaya Bayern Munich atatinga pia kwenda fainali za...
2 Reactions
20 Replies
377 Views
Mwombolezaji Leah Ngowi, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 60 mkazi wa Kiboriloni wilayani Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, amefariki dunia akiwa kwenye msiba wa aliyekuwa mwanafunzi wa Taasisi ya...
2 Reactions
4 Replies
345 Views
Leo nilikaa kwa kutulia kuna bidada mmoja namuelewa sana kwenye moja nambili juzi kat alikua nachangamoto ya kifedha ukweli niliumia sana nikashindwa kumsaidia ingawa ni sehemu ya furaha yangu...
4 Reactions
26 Replies
530 Views
Wa salaam wakuu. Wakuu bila kupoteza muda ningelipenda kwenda moja kwa moja kwenye mada, Kuna jamii hii ya washiraz naskia inapatikana huko pwani ya nchi yetu hususani mkoani Tanga. Basi wenye...
7 Reactions
236 Replies
30K Views
Naandika kwa masikitiko makubwa sana ikiambatana na huzuni. Hili tatizo la ajira ni karibu dunia nzima kwa sasa hasa Afrika. Ila tunachotofautiana ni namna ya kukabiliana na tatizo. Nchi nyingi za...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Moja kwa moja. Watu wengi wanadhani vita ikiisha basi maisha yatarudi kawaida na bei za mafuta katika soko la Dunia zitashuka na kurudi katika hali ya kawaida. Msichokijua kwamba atahari ya hii...
2 Reactions
15 Replies
432 Views
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia zimeazimia kuendelea kuchukua hatua katika kuondoa vikwazo vya biashara ili kurahisisha usafirishaji wa bidhaa, huduma na watu, hatua...
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Magogoni Wilaya ya Kigamboni, mtaa wetu umekuwa na changamoto za kuwa na bandari kavu karibu na makazi ya watu katika njia zinazoingia mtaani kwetu. Mojawapo imekuwa...
0 Reactions
1 Replies
250 Views
Back
Top Bottom