Wasalaam wakuu
Nianze kwa kutoa angalizo lengo la thread hii sio kubeza dini za watu.
Historia ya dini ni ndefu sana katika historia ya mwanadamu. Kujaribu kuibua mjadara juu ya mambo ya kidini...
Rais leo katika kusheherekea sikukuu ya muungano ametoa msamaha kwa wafungwa. Kuna kundi wamepunguziwa robo ya vifungo vyao achilia mbali moja ya tatu inayotambuliwa. Naona moshi mweupe kwa mh. Sugu
A fresh round of trade wars is simmering in East Africa after Tanzania and Uganda imposed taxes on Kenya made confectionery products like chocolate, ice cream, biscuits and sweets citing use of...
Habarini na poleni sana
Aliyeharamia JF inabidi tumlaani kwa kuharamia katiba yenu #TunatakaHaki
Wale tuliowaona kwenye baadhi ya balozi zetu na mabango je kama wakija tz yanaweza kutokea ya...
Mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda katika taarifa yake kwa waandishi wa habari amesema ana furaha sana kwasababu zoezi lake zimeaanza kuzaa matunda baada ya watoto 205 wazazi wao wote wawili...
Kuna Athari kubwa sana kwa Jeshi la Polisi kuzunguka na magari na silaha mtaani. Nimejaribu kuainisha sababu kadhaa chache;
Moja, lengo lao ni kuleta hofu kwa Wananchi lakini hali hii hujenga...
Mtoto wa miaka miwili amefariki dunia baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali kitovuni na kuwekwa uvunguni mwa kitanda nyumbani kwao Kigamboni.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Emmanuel...
Nimejitolea kufanya utafiti mdogo wa nauli zinazotozwa na mabasi ya daladala katika baadhi ya njia za Jiji la Dar.
Nilichogundua ni kuwepo kwa nauli kutegemea maamuzi ama ya Dereva au kondokta...
DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania deployed heavily armed police officers across major towns and cities on Wednesday in a bid to block anti-government protests called by a U.S.-based Tanzanian...
*Siku ya Malaria Duniani 25 April 2018 - Kiwango cha Maambukizi ya Malaria nchini chapungua*
#Kwa mujibu wa Matokeo ya Utafiti wa Viashiria vya Malaria Tanzania 2017 uliofanywa na Taasisi ya...
Ujanani ni Kipindi binadamu anakuwa na nguvu na akili yake ni nyepesi kueleea mambo kadhaa.
Huu ndiyo wakati mzuri wa kijana kusaidiwa au kuwezeshwa kuwekeza kwa siku za usoni. Iwe kwenye elimu au...
Jeshi la Polisi leo limeanza doria katika maeneo mbalimbali ya mkoani Morogoro, doria ambayo inatarajiwa kudumu kwa siku tatu mfululizo mpaka Aprili 27, 2018.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo...
Makamu wa Rais TCCIA Octavian Mshiu (katikati) akizundua huduma mpya ya TMY leo, kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa TCCIA Gotfrid Muganda akifwatiwa na Patrick Emmunel Meneja Maendeleo ya...
Naombeni mnisaidie huu msemo nimekuwa nikiusikia sana haswa maeneo ya maofisini kuhusu wanyamwezi ambao asili ya Tabora na Shinyanga.
Sasa kumekuwepo na msemo usemao mzigo mzito mpe mnyamwezi huu...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, ametoa msimamo mkali kuhusu majukumu yake kwamba hatumii utashi binafsi au kufuata maoni ya mtu yeyote bila kujali nafsi...
Msaada wa kiimani baba yangu leo ameniambia toka alivyo acha kwenda kanisani yapata miezi minne sasa anasema mambo yake yamekua mazuri mno sasa nimfanyeje ili amrudie muumba wake