Wasalaam wakuu
Nianze kwa kutoa angalizo lengo la thread hii sio kubeza dini za watu.
Historia ya dini ni ndefu sana katika historia ya mwanadamu. Kujaribu kuibua mjadara juu ya mambo ya kidini jiandae kuigawa jamii na hata kupingwa kabisa.
Lakini ukweli usiopingika kwa yale yanayoendelea kwenye jamii zetu ni vigumu sana kukaa kimya na kuwa mtazamaji tu kwa mambo yanayohusu jamii zetu.
Takwimu zinaonyesha jamii za watu wa dini sana ni masikini pia, hili si kwa tanzania tu hata sehemu zingine za dunia. Ili linadhibitishwa hata na idadi kubwa ya watu wengi kwenye makusanyiko ya kidini ni watu masikini na waliokata tamaa na changamoto za maisha, iwe magonjwa, urozi, kuachika, ukosefu wa kazi na mengine mengi. Hili sio shida kwani mtu mzima haitaji tabibu, its logical kuwakuta watu kama hao ktk nyumba za ibada wakitafuta msaada wa changamoto zinazowakabili kwa Mungu wao.
Lengo la uzi huu nikutaka kuonyesha dhambi ya dini zetu katika maendeleo ya kijamii. Nitatumia nadharia kazaa kuonyesha dhambi hizi na kuibua mjadara kupitia hoja ntakazozitoa.
Mosi, tuache religious politics ni kwa kiwango gani dini zimesaidia kufanya watu wetu kuwa creative?
Maudhui ya dini nyingi ni kuwa duniani ni mahali pa dhiki na pumziko la milele litakua mbinguni. Jambo hili upunguza passion na creativity katika watu hawa ,hivyo kwangu hii ni dhambi ya dini zetu katika kuandaa jamii pambanaji.
Pili ni dhambi inayotokana na kuandermine matumizi ya akiri ya mtu katika kutatua changamoto zao. Watu wa dini wako ladhi kuvumilia maumivu ya changamoto zinazowakabiri kwa kutegemea the so called supreme power to intervene. Nimeshuudia mama mjamzito anapoteza maisha kwa kukataa kuongezewa damu eti dini hairuhusu. Wengine huenda mbali na kuamini atapona kwa maombi tu na hakuna haja ya dawa au tiba za hospitali. Au wengine wameacha kutumia dawa za HIV au cancer zinazosaidia kupunguza diseases progression eti kwa kuwa mtume na nabii alimtamkia your healed now.
Tatu dhambi ya kufukarisha watu zaidi. Kimsingi Mungu wa imani zote anajipambanua kama mmiliki wa vyote vionekanavyo na visivyoonekana. Mungu wa biblia pia amedecrear fedha na dhahabu ni mali yake.....
Pengine Mungu amehaidi kwa wale watoa zaka kwa uhaminifu atawabariki kiasi cha kutopata sehemu pa kuziweka baraka zake. Sasa dhambi ninayoiona ni hii ....kwa Mungu mwenye haadi kubwa na nzuri kama hizi inakuaje watu wake ndo masikini wa kutupwa? Kifupi watu wa dini ndio maarufu kutembeza kikapu cha machangizo kuliko wao wanavyotoa kwa jamii. Hata uakiangali Kwa mfano, watumishi wa Mungu walio hodari kuhubiri baraka na mafanikio wao ndo hupenda kupewa sadaka na misaada kuliko wanavyotoa kwa watu wao na hivyo net gain wao ndo huwa matajiri kuliko member wengine
Karibuni kwa maoni