Fid Q aliwahi kusema maneno haya kwenye mojawapo ya nyimbo zake, "Ni vema kujifunza mengi sio kujua kila kitu" na mie kwa kulitambua hilo ningependa kujuzwa kuhusu upepo na hewa.
Je, ni kitu...
Kwa siku kadhaa sasa mitandaoni kumekuwa na habari kuwa wenzetu wa usalama barabarani wanataraji kuanza uhakiki wa bima za magari, nimeona kuna link pia imewekwa ili kujua kama bima ni halali au...
Kwanza namshukuru Mwenyezimungu kwa kunipa Afya njema, pia wazazi wangu na viongozi wenzangu wa TSNP na watanzania wote kwa ujumla kwa faraja zao na matumaini yao kwangu.
Napenda kutoa shukrani...
Vijana watatu wamefariki papo hapo baada ya kugongwa na Basi la Kampuni ya Frester lenye namba za usajili T 720 DEV eneo la Katongo Kata ya Rulanda wilayani Muleba mkoani Kagera asubuhi hii ya...
Wana bodi Heshima yenu.
Hapo zaman za kale, kabla ya kushamiri kwa mitandao mbali mbali ya kijamii kama FB Twiter JF na mingine mingi, palikuwa na mtandao unaitwa Darchat wenyeji wa mjini...
Mwanajeshi mmoja wa JWTZ pamoja na mtoto wa Mwanajeshi mwenzake wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha gari la Polisi aina ya Basi lililogongana na gari dogo aina ya Noah iliyokuwa imebeba...
KISA CHA MFALME NA JOHO LA AJABU
29/11/2015
1
Hadithi hadithi! Hapo zamani za kale alikuepo Mfalme ambaye alikuwa anajali sana jinsi anavyoonekana na watu, mwenye kupenda makuu na...
Katika kipindi cha meza ya duara kinachorushwa na DW, leo wanazungumzia muungano wa Tanganyika na Zanzibar kupitia Radio washirika kama Rfa, Tumaini, Upendo, Capital na nyingine nyingi...
Hospitali ya Taifa Muhimbili imefanikiwa kwa 100% Suala la Upandikizaji wa Figo kwa Wagonjwa wawili wa Jinsia ya Kike Chini ya Uangalizi wa Madaktari Bingwa.
Walia Machozi ya Furaha Wawashukuru...
Kama kichwa Cha habari kinavyo jieleza, DMDP ktk miradi yenu inayo endelea ktk jiji la DSM mmesahau manispaa mpya ya ubungo na hasa ktk maeneo ya kata ya Kiluvya gogoni barabara ni mbovu sana...
Hayo ndio mafuta yaliongezwa ktk ndege kubwa iliotua Dar juzi kwa mujibu wa Maulidi Kitenge ktk uchambuzi wamagazeti.
Swali hiyo ndege ina uwezo wa kubeba lita ngapi ktk tenki lake?maana hayo...
Naamini humu JF kuna watu wana ujuzi mbalimbali hivyo naamini nitasaidiwa hapa.
Nataka kujua namna hydraulic press mashine inavyofanya kazi, aina ipi ni nzuri na nitaipata wapi na kwa bei gani.
Pichani:Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mh Iddi Kimanta na Muuguzi Mwandamizi wa Hospitali ya Oltrumet Sr Grace Kivuyo katika uzinduzi wa chanjo ya Saratani ya mlango wa kizazi mkoani Arusha
Wasichana...
Naam watu wameshuka kiringeni.
zoezi la kuwatafutia huduma na kuwatambua wazazi waliotelekeza watoto wao lililoanza mapema mwezi huu limehitimishwa.
Mwanzoni kabisa mwa kampeni hii iliyojaa...
Ni neno maarufu sana katika uzuiaji maandamano, ni neno ambalo limeweza kuzima kabisa maandamano ya Mange, ukali na sura ya ujasiri na kuongea kwa utashi alikotumia RPC wa Dodoma kuliweza kabisa...
Naomba maelekezo ya namna ya kuwa mzalendo kwenye makato ya adhabu 7% juu ya ile 8%
Naomba mnifundishe hapa nakuwaje mzalendo kwasasa Napokea mshahara 176000 mnanikata 143000 naomba mnifundishe...
Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amemtaka Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe atakapokuwa akijibu hoja za wabunge zilizotolewa katika mjadala wa bajeti hiyo...
Habari zenu wana JamiiForums,
Nimekuwa nikijiuliza sana siku nyingi kama maisha ya hapo Bongo ni magumu, vipi maisha ya nchi ambazo zimeendelea?.
Kuna watanzanis wengi sana wanakaa nchi za nje...
Nimekuwa nikifuatilia mno vipindi vyake ktk radio wapo nimegundua jamaa anaupeo mkubwa mno na pia ikiwa vijana wote wangelifahamu mchango wa maneno anayowafundisha vijana ktk semina zake zote basi...
Wadau nataka kwenda rwanda kutafuta maisha maana maisha ya tanzania yamenishinda kila ninachofanya naona kimekuwa kigumu nataka kwenda kutafuta maisha.
Kwa wale mliowahi kufika hebu nisaidie...