DMDP-Mmeisahau Wilaya ya Ubungo

DMDP-Mmeisahau Wilaya ya Ubungo

luirhu

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
800
Reaction score
413
Kama kichwa Cha habari kinavyo jieleza, DMDP ktk miradi yenu inayo endelea ktk jiji la DSM mmesahau manispaa mpya ya ubungo na hasa ktk maeneo ya kata ya Kiluvya gogoni barabara ni mbovu sana, tunawaomba mtende haki ktk kutatua kero za barabra, mnaonyesha upendeleo ktk maeneo mengine na kuyasahau maeneo haya niliyo yataja., huku pia kuna wananchi wanyonge wanao hitaji maendeleo tusiwngalie maeneo wanayo kaa wakubwa tu, huku pia kuna keroooo.
Tumaomba mlifanyie kazi, badilikeni, awamu hii ya tano ni ya kuwajali anyonge.
 
Ni kweli kabisa endapo DMDP wataboresha miundo mbinu ya pembezoni mwa jiji matokeo yake watapunguza msomgamano katikati, ujenzi wa holela na maafa yasiyo ya lazima, kwani watu watshemga na kuhamia pembezoni endapo tu miundo mbinu imeboreshwa.
 
Kama kichwa Cha habari kinavyo jieleza, DMDP ktk miradi yenu inayo endelea ktk jiji la DSM mmesahau manispaa mpya ya ubungo na hasa ktk maeneo ya kata ya Kiluvya gogoni barabara ni mbovu sana, tunawaomba mtende haki ktk kutatua kero za barabra, mnaonyesha upendeleo ktk maeneo mengine na kuyasahau maeneo haya niliyo yataja., huku pia kuna wananchi wanyonge wanao hitaji maendeleo tusiwngalie maeneo wanayo kaa wakubwa tu, huku pia kuna keroooo.
Tumaomba mlifanyie kazi, badilikeni, awamu hii ya tano ni ya kuwajali anyonge.
DMDP ni nini kwanza?
Na inahusika na nini?
Tuanzie hapo kwa faida ya wengi
 
DMDP= DAR ES SAALM METROPLITANT DEVELOPMENT PROJECT .
lengo lake ni kutatua kero ktk Jiji la DSM zinazo husu miundombinu , afya , elimu nk.
 
Haswa kero za barabara ktk maeneo ya dsm, kwakweli barabara ni mbovu mno ktk maeneo ya kiluvya gogoni, tunaomba DMDP waelekeze macho yao huku, wasiangalie sinza, masaki, tabata tu bali waje pembezoni
 
Back
Top Bottom