Nakuunga mkonoDr Onesmo Kissanga huyo anayeongea.... moja ya madaktari mabingwa wa figo hapa nchini na jamaa ni very committed na kazi yake ya kutibu wagonjwa na hakika anastahili hata kuwa Daktari Bora katika siku ya Mei Mosi mwaka huu 2018
Dr Onesmo Kissanga huyo anayeongea.... moja ya madaktari mabingwa wa figo hapa nchini na jamaa ni very committed na kazi yake ya kutibu wagonjwa na hakika anastahili hata kuwa Daktari Bora katika siku ya Mei Mosi mwaka huu 2018
Kwenye hii taaluma hakuna hii Kitu inaitwa (Daktari Bora) ndio maana hata vyeti vyao huwa wanaandikiwa "PASS"Nakuunga mkono