Nafurahia kusikia habari ya Viwanda tuambiwavyo. Lakini viwanda vyenyewe vipo kweli ? Ni vya tangu Uhuru au kuanzia mwaka 2015 ? Na Je kwa Kiwanda kimoja huchukua muda gani kujengwa ?
Kati ya 80 na waliowasilisha maombi. Hii inaashiria nini kwamba hizi online media services sasa zipo ktk hatihati kupotea ?
Hadi Aprili 29 watoa huduma za habari mitandaoni 86 walikuwa...
Hii ni moja ya kauli iliyo semwa na mchambuzi wa siasa katika moja ya mahojiano yaliyo fanyika na DW
Napata wasi wasi na huyu mchambuzi sijui kama atachwa salama hebu msikie
Majina ya wahadhiri waomba ngono Vyuoni kutua Bungeni.
Uende dawa ya kutibu tabia inayochafua elimu yetu itapatikana mapema iwezekanavyo:
Kuna malalamiko mengi ya muda mrefu katika vyuo vikuu...
Yaweza ikawa ni chanzo kweli cha kifo chake ama isiwe.Wakristo huamini katika Kristo daima.
Yupo mdogo wa askofu Pengo aliyebahatika kusoma masomo ya uchumi na akabobea.Alifanya kazi kwa weledi...
Habarini za Mei Mosi
Naenda moja kwa moja kwenye mada.
Kama unajua hii picha imepigwa kwenye Kamusi gani naomba unitajie.
Ni vizuri ukanitajia jina na edition yake ili iwe rahisi kuipata
Ajiua kwa kunywa sumu kisa kuachwa na Mke
MWANAMUME mmoja mkazi wa Katoro mkoani Geita aliyetambulika kwa jina la Maganiko Nunda amejiua kwa kunywa sumu kufuatia mgogoro ulioibuka baina yake na...
Wakuu.
Hizo bidhaa hazikamatiki kwa sasa nchini na bei nadhani itaendelea kupanda kila kukicha.
Najiuliza Rais anaposema kadhibiti mfumuko wa bei ni mfumuko katika bidhaa gani labda wachumi...
Kila mtu anajua yaliyokupata na wanakuhurumia, tena sana tu, lkn usitumie huruma waliyo nayo kwako kama bargaining chip, mwishowe watakuchoka, kuwa Mwanaume acha kulalamika na kutafuta Wachawi...
Sehemu za starehe Mjini Moshi full shangwe. Watu wanakula bata mbaya kabisa!
Nimefanya kaziara kadogo Malindi. Police Mess. MDC Club. River Nile. Peters .East Africa. Seven Eleven. MINJAS Pub...
Enzi zile tulifundishwa heshima na adabu kwa wakubwa zetu popote pale na nimekua hadi leo na 30's ila kuna tatizo naliona linazidi kushika mizizi kwa hawa wadogo zetu
Kawaida huwa natumia huu...
Njia nzuri ya kufundisha kitu ni kwa kutumia mifano hai. Na mifano hai bora zaidi ni ile inayotuhusu wenyewe. Lakini kueleza kuhusu maisha yako binafsi kuna hasara zake. Kunawapa baadhi ya watu...
Hii siku kwa hapa Tanzania naona haina maana yoyote na wala haibadilishi hali ya mfanyakazi hivyo iachwe tu iwe inapita na Wafanyakazi wawe wanaendelea tu kazi zao.
Moderator mkiunganisha huu Uzi...
Mambo yafuatayo yamenifanya nione Meimosi hii nisiisherekee kwa kukosa imani na vyama vya wafanyakazi.
1. Serikali imevitia kapuni, havina nguvu ya kuishurutisha Serikali kuboresha maslahi ya...
Nimekuwa nikitafakari mambo mbali mbali nchini kwetu. Katika yote haya makosa yalianzia hapa
Mwalimu nyerere baba wa taifa letu alifanya kosa Na analitambua kosa lakini hakuchukua hatua zaidi ya...
Mwanzoni mwa miaka ya tisini kulikua na kitabu kilichoitwa " Safari za Hatari za Akajase Mbamba ".
Though I was still a lil bow wow but still bado ninayakumbuka maudhui ya kitabu ingawa jina la...
Habarini za Asubuhi wana Jukwaa.
Wengi wetu tumewahi kwenda benki kuweka/kutuma pesa ukawa umehesabu pesa zako mara 10 10, ukahakikisha zipo sawa kabisa, lakini cha ajabu ukifika benki unaambiwa...
Na Ezekiel Kamwaga - Raia Mwema
WIKI iliyopita, Mzee Frederick Jones Mchauru (aliyekaa kwenye kochi) alitimiza umri wa miaka 98 tangu azaliwe. Labda hili ni jina geni kwa wengi wetu. Nimsemee...
USTAARABU WA KUTEMBEA KWA MIGUU (Walking codes secret)
Katika utaratibu mzuri Wa matumizi ya barabara kwa watembea kwa miguu hususani kwenye msongamano, ni vyema kutambua au kutembea kwa...