Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,005
- 9,264
Habarini za Asubuhi wana Jukwaa.
Wengi wetu tumewahi kwenda benki kuweka/kutuma pesa ukawa umehesabu pesa zako mara 10 10, ukahakikisha zipo sawa kabisa, lakini cha ajabu ukifika benki unaambiwa imepelea kiasi flani cha pesa "Ongezea" ndugu zangu huu huwa ni wizi unaofanywa na benki tellers ukiaminishwa kwa kutumia mashine ya kuhesabia pesa.
TUKIO
Siku moja nikiwa tawi la [HASHTAG]#nmb[/HASHTAG] tumepanga goleni kama kawaida ya bank, ikafika zamu ya kaka mmoja alikua na 1M, nadhani yule benk teller (alikua ni mdada) alimdharau kimwonekano, akampa pesa zake akazipitisha kwenye mashine yake zilipomaliza kuhesabiwa akamwambia "kaka 50,000 imepungua" jamaa akapaniki akamwambia dada nimehesabu hizo pesa mara 10 10, zilikua sawa sawia nakushangaa unasema 50,000 imepungua
dada akapaniki kwa hiyo mm ndio nimekuibia na kelele kibao, dada akamwita mlinzi, mlinzi kwa sifa akaja akataka kumtoa jamaa, jamaa akakomaa sitoki mpk pesa zangu azitoe
tuliopanga mstari, wafanyakazi wenzake wote tukawa nyuma ya yule dada tukimwona jamaa mjinga tu anatuchelewesha, jamaa akasema dada "nitakuharibia kazi rudisha pesa zangu" dada kajitia kichwa ngumu.
jamaa akamwabia "FUNGUA HIYO MASHINE YA KUHESABU PESA" aiseeeee huu ulikua ni kama msumari wa moto kwnye kidonda, niliona hili hata kwa wafanyakazi wenzake wa pembeni, dada alikua mpole kama piritoni, jamaa alikomaa fungua hiyo mashine, umebana pesa zangu humo.
Mashine kufunguliwa ikakutwa 50,000 tasilimu, jamaa akasema nakuripoti kwa branch manager, ahaha aliomba msamaha sio wa nchi hii, wale tuliokua tunamzonga jamaa tukaanza kumsifia akatutukana tukawa wapoleeeee
Funzo.
wengi tumekutana na hili la kuambiwa hela imepungua ongezea.
hakikisha unahesabu pesa zako vizuri na kuzipanga kwa mafungu ya 100k kama ni nyingi kuepuka usumbufu
Asanteni