Pol Paul Member Joined Apr 15, 2018 Posts 66 Reaction score 55 May 1, 2018 #1 Hii ni moja ya kauli iliyo semwa na mchambuzi wa siasa katika moja ya mahojiano yaliyo fanyika na DW Napata wasi wasi na huyu mchambuzi sijui kama atachwa salama hebu msikie
Hii ni moja ya kauli iliyo semwa na mchambuzi wa siasa katika moja ya mahojiano yaliyo fanyika na DW Napata wasi wasi na huyu mchambuzi sijui kama atachwa salama hebu msikie
T Tissaphernes JF-Expert Member Joined Mar 27, 2018 Posts 2,902 Reaction score 3,572 May 1, 2018 #2 Wananchi wakiendelea watajenga hivo viwanda Na mzunguko utakua mkubwa
del moe JF-Expert Member Joined Apr 4, 2016 Posts 827 Reaction score 1,028 May 1, 2018 #3 Productivity , ishaporomoka kitambo...bora ufuge nyauu! Never do business with government my friend!