Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wana jamvi, Niende moja kwa moja kwenye mada.Azam TV wamekuwa wanarusha movie walizo tafsiri kwa kiswahili lakini hawa jamaa wanatuonesha vimuvi vya hovyo sana mfano jana tar28/04/2018...
4 Reactions
81 Replies
18K Views
Uchumi wa viwanda ni tukio au matokeo? Uchumi wa viwanda ni tukio au matokeo?
0 Reactions
1 Replies
609 Views
Malalamiko yangu kwaniaba ya wengi, Jiji la Dodoma na askari wenu wa jiji mnatia aibu na fedheha, naomba niweke kisa cha mimi kufungua nyuzi hii, eneo la Makole hospital ilipo jengo jipya kabisa...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Artificial Intelligence ni controversial sana. Kuna watu kadhaa kama Bill Gates na Elon Musk wanamsimamo kwamba A.I. itafika mahala ambapo inatambua kwamba binaadamu ni threat kwao na itatufuta...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwanasayansi mwenye umri wa miaka 104 David Goodall ameaga nyumbani Australia kuanza safari ya kimataifa kwenda kujitoa uhai. Sio kwamba mwanaekoljia huyo anaugua mahututi, La, anatamanai...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka mitatu mkazi wa kijiji cha Keringet kaunti ya Pokot amekutwa na sindano 7 za kushonea kwa mkono tumboni mwake, baada ya kupigwa picha ya xray. Mtoto huyo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu jf Mi na jambo moja kuhusu hawa wasichanaa A.k.a wadada zetu hivi kwanini hawa watu unapoanza kupata nafsi ya kumueleza hisia zako(kumtongoza), sologan yao kubwa unakuta anakuelezaa...
0 Reactions
3 Replies
767 Views
Napenda kuwapa huu uzi ndugu zangu imekuwa tabia inayoota mizizi na hata kusema pia imeshaota mapembe pia. Siku 4 zilimepita nimetoka zangu home na gari ya baba sasa kufika maeneo ya Africana...
3 Reactions
68 Replies
7K Views
HOTUBA YA KAIMU MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA (TEF), DEODATUS BALILE KATIKA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI (WPFD) ILIYOADHIMISHWA KITAIFA MEI 3, 2018 JIJINI DODOMA...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Sisikii tena mambo ya ujambazi kama hapo nyuma hata wezi wa simu au bodaboda kuleta fujo barabarani kidogo hizo kesi zimepungua....hongera kwa yeyote aliefanikisha Haya kuwezekana.
5 Reactions
15 Replies
2K Views
YAH: KUANZISHA TAASISI ITAKAYOWATAMBUA WAJASILIA MALI CHIPKIZI HAPA NCHINI Mh. Raisi, rejea kichwa cha habari hapo juu chajieleza. Napenda kukushauri Mh Raisi uanzishe taasisi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa CCM wilayani Tarime amelaani vikali mauaji ya kijana Saguti yanayodaiwa kufanywa na askari polisi. Mwenyekiti huyo amesema polisi kazi yao ni kulinda raia na mali zao na si kuwaua...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Usipojua haki zako unaweza kuuziwa chochote kilicho chini ya kiwango na usiwe na cha kufanya au usipojua wajibu wako unaweza ukalazimishwa kutimiza zaidi ya unavyopaswa. Huwezi kufika mahali...
0 Reactions
4 Replies
841 Views
Hali ya Uchumi ya Tanzania ni nzuri Wananchi wanafurahia maisha, hawana wasiwasi na wanamkubali kinomanoma Elimu ya Tanzania ni nzuri kukaribia hata ya Marekani na Uingereza Ajira zipo nyingi mno...
25 Reactions
61 Replies
7K Views
Huku wakiongea kwa kujiamini kabisa wakiwa na hakikisho kwamba hawana wasiwasi wa kufanyiwa jambo lolote lile na yoyote yule katika Tanzania hii ya sasa Watangazaji wa Kipindi cha 360...
5 Reactions
54 Replies
10K Views
Hakuna betri zake madukani na kuna taarifa kwamba kimefungwa. Je ni kweli ? Na kama uzalishaji unaendelea mbona betri zake hakuna? Naomba kuwasilisha.
2 Reactions
44 Replies
7K Views
Habari ndugu zangu. Kwa majina naitwa BWIRE HATARI Naomba kutoa taarifa ya kupotelewa na vyeti .kwa yeyote atakaesikia au kuokota vyeti vyenye majina hayo basi anipe taarifa au atoe taarifu kituo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Prevalence of undernourishment (% of population) | Data
0 Reactions
0 Replies
610 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…