Watanzania tujifunze kulipa kodi.Maendeleo yatakuja zaidi kama tutakua na adabu.kuendela kujenga highways naiomba serekali itozeshe kodi ili ipate pesa za kuendelea kufanya kazi nyingine.hakuna free ride .Tusisubirie Serekali itatufanyia nini.Tutaifanyia nini Serekali.