Mwili wa Profesa Luitfred Mbunda waagwa mkoani Dodoma

Decree Holder

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
2,559
Reaction score
3,749
Mwili wa profesa nguli wa sheria za ubia Luitfred Mbunda aliyefariki juzi mkoani Dodoma umeagwa jana mkoani Dodoma katika ukumbi wa Chimwaga (udom).

Leo utawasili Dar es salaam kwa ajili ya kuagwa kabla ya kusafirishwa kwenda kuzikwa Mbinga.

Profesa Luitfred Mbunda alikuwa mwalimu wa sheria za ubia na mikataba Chuo Kikuu cha Dar es salaam toka mwaka 1981 mpaka 2013 ambapo alistaafu na kuajiliwa kwa mkataba Chuo kikuu cha Dodoma(UDOM) ambapo alikuwa Ndaki wa kitivo cha sayansi ya lugha na sayansi ya jamii mpaka mwaka 2016 kitivo kilipogawanywa na kuzaa vitivo viwili kitivo cha lugha na sayansi za jamii(CHSS) na kitivo cha masomo ya biashara na sheria (CBSL).

Mpaka anafariki juzi alikuwa akifundisha chuo kikuu cha Dodoma kwa mkataba.

Bwana alitoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
IMG-20180430-WA0017.jpg
IMG-20180430-WA0018.jpg
 
Mwili wa profesa nguli wa sheria za ubia Luitfred Mbunda aliyefariki juzi mkoani Dodoma umeagwa jana mkoani Dodoma katika ukumbi wa Chimwaga (udom).

Leo utawasili Dar es salaam kwa ajili ya kuagwa kabla ya kusafirishwa kwenda kuzikwa Mbinga.

Profesa Luitfred Mbunda alikuwa mwalimu wa sheria za ubia na mikataba Chuo Kikuu cha Dar es salaam toka mwaka 1981 mpaka 2013 ambapo alistaafu na kuajiliwa kwa mkataba Chuo kikuu cha Dodoma(UDOM) ambapo alikuwa Ndaki wa kitivo cha sayansi ya lugha na sayansi ya jamii mpaka mwaka 2016 kitivo kilipogawanywa na kuzaa vitivo viwili kitivo cha lugha na sayansi za jamii(CHSS) na kitivo cha masomo ya biashara na sheria (CBSL).

Mpaka anafariki juzi alikuwa akifundisha chuo kikuu cha Dodoma kwa mkataba.

Bwana alitoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.View attachment 762175View attachment 762176
bila shaka atakuwa na ndugu yak/mwanae yuko udsm richard mbunda yule jamaa kilaza hapaswi hata kufundisha sec.phd holder mweupe sijawahi ona.
 
Kama sijakosea alikuwa mwl pale galanos sec ,nakumbuka mwaka 2007 nilimuacha pale
 
RIP Prof....shida ya wasomi wetu ni hawaachi legancy ya kukumbukwa
 
bila shaka atakuwa na ndugu yak/mwanae yuko udsm richard mbunda yule jamaa kilaza hapaswi hata kufundisha sec.phd holder mweupe sijawahi ona.
Mbunda sio jina la ukoo ni majina tu ya kabila la kimatengo na wapo wengi sana Mbinga ila hawana uhusiano wowote wengine
 
Back
Top Bottom