Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hi wandg nahitaji mtu mwenye turubai gumu lisilovuja lkn limetumika kwa ajili ya shughuli fulani ukubwa liwe mita 20 kwa 20 au zaidi! Mwenye nalo anipm tufanye mapatano nikiridhia tulipane ahsante!
0 Reactions
0 Replies
787 Views
Rejea kuhusu kichwa cha uzi, karibu utiririke!
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Wakuu amani za mungu ziwe juu yenu, Kumekuwa na mazungumzo ambayo kwa kweli yanasikitisha sana na kushangaza juu ya stori zinazoenezwa kuhusu mbwa kwamba hii dini ya Uislamu inaharamishaje mbwa...
13 Reactions
45 Replies
12K Views
Baraza la mitihani la taifa (Necta) limetangaza kwamba mitihani ya kuhitimu kidato cha sita pamoja na ualimu kwa mwaka 2018, inatarajiwa kuanza kufanyika kesho, Mei 7 hadi Mei 25 nchi nzima katika...
2 Reactions
2 Replies
698 Views
Eneo la Mlima Rhotia-Karatu mkoani Arusha eneo ambalo mwaka 2017 palitokea ajali ya basi la wanafunzi wa shule ya LUCKY VINCENT na kusababisha vifo vya wananfunzi 32, Walimu 2 pamoja na dereva wa...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
MAHAKAMA YATEKETEA KWA MOTO MBEYA USIKU HUU. Mahakama ya Mwanzo Uyole jijini Mbeya imeungua kwa moto na kuteketeza kila kitu mahakamani humo ikiwemo taarifa na mafaili yote ya kesi...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Nimewafuatilia Airtel kuhusu matangazo yao wanayorusha kwenye TV.Nimegundua kwamba Airtel matangazo yao hawatengenezi Tanzania licha ya sisi WaTz kuwa na kampuni nzuri tu zinazoweza kutengeneza...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Kama ulidhani kwamba hekaheka zinazotokana na mvua inazoendelea kunyesha katika maeneo mengi ya nchi hususan mikoa ya Pwani inakaribia kumalizika, utakuwa unajidanganya. Chukua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Utaifiti: ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi, unahusishwa na matatizo ya utasa miongoni mwa wanawake Mwanamke akila burger na vibanzi Mwanamke ambaye ana mazoea ya kula vyakula vyenye mafuta...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwenzenu niko njia panda kabisa hata sijui lipi ni lipi sasa. Toka utotoni nilizoea kusikia msemo huu na niliamini huo ndo ukweli maana siamini Mungu anaweza kumpenda Msema-uongo Na hata sasa...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Kwa kuwa inasemekana upimaji ni garama kubwa! Tutumie vijana wetu Chuo cha ardhi,wakienda field wafanye master plan ya awali kila kijiji,tutumie hata karatasi za A4 @20tzs na manila 200 pia...
0 Reactions
3 Replies
997 Views
Ilikuwa 7 Mei tulipowapoteza vijana wetu 35 katika ajari ya Coaster Wilaya ya Karatu,je police na taasisi za shule zimechukua tahadhari gani?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hizi ofisi za mwendo kasi pale Jangwani ni muhimu zihame haraka kwenda Ubungo pale ilipo UBT kwa sasa na UBT ihamie Mbezi kama ilivyopangwa. Hapo zilipo ofisi za mwendokasi kwa sasa wafuge samaki...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Leo mida ya saa 11:30 jioni tukitokea dar na mv. Kilimanjaro kuja znz tuona maiti ya mwanaume ikiwa inaeleya kwenye bahari kuu maeneo ya chumbe..msafiri kafikiri...!!! Maiti nyingi sana zitakuwa...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Mchekeshaji Mzee Majuto leo Mei 4,2018 amesafiri kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu. Majuto ameenda India kutibiwa katika Hosptali za Apollo, New Delhi baada ya kusumbuliwa na nyonga...
7 Reactions
90 Replies
14K Views
Kupiga majungu, kumuongea mwenzako pembeni mambo ambayo ulipaswa kumwambia moja kwa moja, Kusingiziana ili mmoja akandamizwe na mwingine atumie hiyo kama ngazi, kusambaza umbea...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema wanaume waliopokea barua za kuitwa ofisini kwake kwa ajili ya maridhiano na wazazi wenzao na wakakaidi, ifikapo Jumatatu watakamatwa kwa mujibu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari jf? kwa nini magereza yote nchini hayana majina ya viongozi mashuhuru na wakubwa au jina la chama kama ilivyo viwanja vya mpira,madaraja,barabara,hospitali n.k?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mzee mmoja ambaye ameenda matembezi na mke wake huko Africa Kusini amevamiwa na simba na kuvutwa mpaka vichakani. Kaumia vibaya amelazwa hospitali anaendelea na matibabu.
0 Reactions
44 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…