Hashpower7113
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,354
- 2,144
Baraza la mitihani la taifa (Necta) limetangaza kwamba mitihani ya kuhitimu kidato cha sita pamoja na ualimu kwa mwaka 2018, inatarajiwa kuanza kufanyika kesho, Mei 7 hadi Mei 25 nchi nzima katika shule za sekondari 674, vituo vya watahiniwa wa kujitegemea 231 na vyuo vya ualimu 125 tanzania bara na zanzibar.
Kila la heri watahiniwa wote.
Kila la heri watahiniwa wote.