Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari. Laptop imeibiwa. Kuna namna yeyote ya Ku trace kwa lengo la kuipata. Tafadhali
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Gaza tena! Kwa miaka mingi tumekua tukisikia kuibuka na kutulia kwa mgogoro kati ya majirani wawili yaani, Israel na Palestina. Jambo ambalo linanifanya nifikirie mara mbili kama kuna uwezekano wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tumesomea kazi fulani wengine wakabahatika kuzifanyia kazi na wengine la. Wengine amesomea kazi magumu magumu (mshahara kiduchu) na kuna wengine wamesomea kazi nyepesi nyepesi na mshahara mnono...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Ni vigumu Ukawafukuza watu maeneo yale alafu ukapaacha bila matumizi yoyote. Uzoefu umeonyesha haiwezekani. Atafutwe Muwekezaji wa ndani, au wa nnje au Serikali hilo bonde hasa pale jangwani...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi inakuwaje mtu mzima unaenda chooni haja kubwa na kikopo cha maji lita moja tu badala ya ndoo yenye maji mengi? Tabia hii nimeiona sana mikoa karibia yote ya Pwani ambako wengi wanatumia vyoo...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
Kwa mujibu Wa taratibu za kiuungwana nimeona ni vyema na haki vitu vizuri nikala na wenzangu... Basi nikaona si mbaya kama ntashea list ya vitabu vitano vitakavyoweza kuchochea uelewa wetu juu ya...
6 Reactions
30 Replies
7K Views
Ukistaajabu ya Musa, utayaona ya firauni! Ndivyo unavyoweza kusema kwa mama huyu wa wato wawili anayefahamika kama Mama Theresia (18), mkazi wa Kata Maweni, Mtaa wa Jaribu Tena, jijini Tanga...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Naona sasa wako na wewe tena kwa habari nyiingi za kukusifu lakini ngoja nikwambie ukweli ambao labda haufahamu kwa sababu ulikuwa Jela. Ni kwamba walikuongelea mara mbili tu, siku ulipohukumiwa...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
JE, UNAJUA? KUWA KWENYE NJIA YA DUAL CARRIAGE (yaani barabara yenye njia mbili) NI GARI ZENYE SPEED KUBWA NA ZISIZOSIMAMA MARA KWA MARA TU NDIZO ZINATAKIWA KUTEMBEA UPANDE WA KULIA? [Kwa maana...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Naomba wenye ufaham juu ya hili mnisaidie. Mimi nilikosea kuweka mwaka wa kuzaliwa kwenye fom yangu ya maombi ya kitambulisho cha taifa. Baada ya kitambulisho kutoka ndo nikaona kua nilikoseaga...
1 Reactions
19 Replies
13K Views
Mbezi beach mtaa wa Bondeni jirani na kituo cha daladala kuna shughuli za ujenzi wa daraja la juu (fly over). Katika shughuli za ujenzi huo wakati wakichimba mtaro mafundi walikosea wakatoboa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mjini na Magharib Hassan Nassir, 14/05/2018 amebadilishwa kituo cha kazi. Hassan Nassir ndiye aliyesema kwamba atawafungulia mashtaka ya shambulio la aibu la wale...
4 Reactions
57 Replies
12K Views
MWANDISHI wa habari mwandamizi aliyehamishia makazi yake nchini Finland kwa kile anachokiita kuwa ni kunusuru maisha yake, Ansbert Ngurumo ambaye pia ni Mhariri wa SAUTI KUBWA online amemjibu...
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Salama wanajukwaa!. Nilikuwa napitia kitabu flani nikakutana na ukurasa mmoja ambao umeandikwa "THIS PAGE [IS] INTENTIONALLY LEFT BLANK". Nikakumbuka almost vitabu vingi specially kwenye mfumo wa...
3 Reactions
51 Replies
5K Views
TRA mkoa wa Arusha wamekamata shehena ya sukari na mafuta ambayo haikulipiwa kodi. Kamishna mkuu wa TRA ndugu Kichere amesema shehena hiyo ina thamani ya takriban sh 25 milioni na kodi...
8 Reactions
68 Replies
7K Views
Nyie TRA ni kiboko yani wamekuja hotelini na kuuliza wateja wangapi wamelala nikawaambia na kuwaonesha kitabu mpaka hapo sawa baada ya hapo leta Risiti nikawaambia wateja hulipa siku wanayotoka...
1 Reactions
58 Replies
7K Views
Siku mbili tangu alipoachiwa muigizaji Elizabeth Michael ’Lulu’, mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amesema ameumia na tangu alipopata taarifa hizo hajalala. Akizungumza na MCL Digital...
5 Reactions
324 Replies
37K Views
Kikongwe Somoe Issa anayekadriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 90 ambaye ni Mkuu wa Kaya ya Msimbati kijiji ambacho gesi asilia inavunwa, mkoani Mtwara aliionya Serikali kutoendelea na mpango...
2 Reactions
28 Replies
14K Views
Nianze na nukuu kutoka Kwa gwiji wa muziki wa reggae, hayati Robert Marley aliposema" katikati ya maji, maji mpumbavu ana kiu" Kwa muda wa wiki mbili Sasa maeneo mengi ya jiji la mwanza hakuna...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…