Kwenda chooni na kikopo cha maji kinatosha kujisafisha?

Madimba jr

JF-Expert Member
Aug 12, 2017
1,577
3,143
Hivi inakuwaje mtu mzima unaenda chooni haja kubwa na kikopo cha maji lita moja tu badala ya ndoo yenye maji mengi? Tabia hii nimeiona sana mikoa karibia yote ya Pwani ambako wengi wanatumia vyoo vya kulenga, unawezaje kunawa vizuri na tumaji tuchache namna ile na kutoa chembechembe zote za inya na kunawa mikono vizuri?

Tubadilike jamani.
 
Jana kwenye Biko ,namuona Kajala mikono yote kabandika mikucha mirefu km mtoto wa jini .

Haaaaaa nkajiuliza uyu anajisafisha vizuri ? Khuko Tigon na mbele ? Sindo hawahawa wanaotoa bad smell ??.
 
hayo mambo ya wazugu halafu vyakula wanavyokula wale ni vilaini,sasa shughuli ya ugali maharage na mboga kisamvu hapo bado asubuhui umepiga chai na mihogo,jioni umepita barabarani umeona muhindi wa kuchoma umeshushia unadhani ukienda haja kubwa hiyo TP itafua dafu?
Mzungu nyumba kwanza ninopen space sebule na jiko vimeungana. Akipika ni amechemsha pasta au kukata salad.
Sisi open space hujachemsha utumbo na kukaanga vibua.
 
Bora maji kidogo maana maji mengi mwisho utaanza kujitekenya uone utamu utaishia kuwa punga tumia tissue/ Toilet news ndio safi hahahahaaaaa ni utani tuuu
 
Duh watu wanajadili kuchamba! SMH
Mkuu unajua haya mambo ya kuchambia maji ya kwenye kikombe ndiyo hueneza magonjwa ya kuharisha na vidonda vya tumbo na Matyphoid na ma amiba na minyoo. Nimeona uzi jana kuwa magonjwa ya kuharisha huchangia 6% ya vifo bongo.
 
Mkuu unajua haya mambo ya kuchambia maji ya kwenye kikombe ndiyo hueneza magonjwa ya kuharisha na vidonda vya tumbo na Matyphoid na ma amiba na minyoo. Nimeona uzi jana kuwa magonjwa ya kuharisha huchangia 6% ya vifo bongo.
Nasikitika tu kwamba mpaka 2018 bado tunajadili KUCHAMBA.
 
hayo mambo ya wazungu halafu vyakula wanavyokula wale ni vilaini,sasa shughuli ya ugali maharage na mboga kisamvu hapo bado asubuhui umepiga chai na mihogo,jioni umepita barabarani umeona muhindi wa kuchoma umeshushia unadhani ukienda haja kubwa hiyo TP itafua dafu?
 
Back
Top Bottom