Mbunge Sugu, nakwambia ukweli, walikuongelea mara 2 tu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Naona sasa wako na wewe tena kwa habari nyiingi za kukusifu lakini ngoja nikwambie ukweli ambao labda haufahamu kwa sababu ulikuwa Jela. Ni kwamba walikuongelea mara mbili tu, siku ulipohukumiwa kwenda Jela na siku moja kabla haujatoka Gerezani, na hapo katikati wakati ulipokuwa Jela ilikuwa ni kimyaa na hakuna hata aliyeulizia unatoka lini au kuongelea kukukatia rufaa au hata kukujadili na kuiongelea Familia yako ambayo naamini ilikuwa inapitia kipindi kigumu sana.

Wanasheria ambao hushinda hapa JF hawakusema chochote kuhusu kifungo chako hata TLS na Bisimba Kijo hawakusema chochote kile juu ya kifungo chako.

Hata huyu Mwandosya uliyepiga naye selfie baada ya kutoka Jela hakusema chochote wakati uko Jela na wala hatukumsikia akikupigania wewe au familia yako.

Hivyo elewa kwamba mapambio yote wanayokuimbia leo hii likikufika la kukufika upo peke yako labda na Familia yako.

Kila La Heri man katika safari yako ngumu na ndefu ya kujitambua, ...
 
Juzi nilimuona waziri Mwijage Mwananyamala akiwa na gari la wizara the guy is actually meaty in person.

Anyway nilipomuona kitu cha kwanza kukumbuka ni ile kujisifu kua kasomea propaganda. I was like that nicca really thinks Tz is gon survive on propaganda and shit same goes for this nicca right here.
 
Wao walimuongelea mara mbili tu, wewe ulimuonhelea mara ngapi? Unadhani kama angeongelewa kila siku hukumu yake ingebatilishwa?
 
Naona sasa wako na wewe tena kwa habari nyiingi za kukusifu lakini ngoja nikwambie ukweli ambao labda haufahamu kwa sababu ulikuwa Jela. Ni kwamba walikuongelea mara mbili tu, siku ulipohukumiwa kwenda Jela na siku moja kabla haujatoka Gerezani, na hapo katikati wakati ulipokuwa Jela ilikuwa ni kimyaa na hakuna hata aliyeulizia unatoka lini au kuongelea kukukatia rufaa au hata kukujadili na kuiongelea Familia yako ambayo naamini ilikuwa inapitia kipindi kigumu sana.

Hata Wanasheria ambao hushinda hapa JF hawakusema chochote kuhusu kifungo chako hata TLS na Bisimba Kijo hawakusema chochote kile juu ya kifungo chako.

Hata huyu Mwandosya uliyepiga naye selfie baada ya kutoka Jela hakusema chochote wakati uko Jela na wala hatukumsikia akikupigania wewe au familia yako.

Hivyo elewa kwamba mapambio yote wanayokuimbia leo hii likikufika la kukufika upo peke yako labda na Familia yako.

Kila La Heri man katika safari yako ngumu na ndefu ya kujitambua, ...
Uchonganishi huu jamani ! Sasa wangefanya nn ? Nndio tulivyo watanzania
 
Mkuu kwahio ulitaka wampiganie mitandaoni??
Au wakikata rufaa ulikua unataka wakupe ripoti?
Mbona kuna vitu vingi vya kufungulia uzi sio upupu huu

Ndiyo, mbona Lema walimpigania kila siku na hata wengine tunaijua familia yake kwa maana walikuwa kila siku wanaileta humu, tunajua mke wa Lema ni hodari sasa na makini mpaka jina lake na watoto wake yote tunayafahamu kwa sababu walikuwa wanampigania na kutujulisha humu kila siku!
 
  • Thanks
Reactions: UCD

Kwani hao waliomshitaki na nyasi mbichi walimzungumziaje.....zaidi ya kuonesha furaha kwa kuweza kumnyanyasa mtanzania asie na hatia ??
 
Naona sasa wako na wewe tena kwa habari nyiingi za kukusifu lakini ngoja nikwambie ukweli ambao labda haufahamu kwa sababu ulikuwa Jela. Ni kwamba walikuongelea mara mbili tu, siku ulipohukumiwa kwenda Jela na siku moja kabla haujatoka Gerezani, na hapo katikati wakati ulipokuwa Jela ilikuwa ni kimyaa na hakuna hata aliyeulizia unatoka lini au kuongelea kukukatia rufaa au hata kukujadili na kuiongelea Familia yako ambayo naamini ilikuwa inapitia kipindi kigumu sana.

Wanasheria ambao hushinda hapa JF hawakusema chochote kuhusu kifungo chako hata TLS na Bisimba Kijo hawakusema chochote kile juu ya kifungo chako.

Hata huyu Mwandosya uliyepiga naye selfie baada ya kutoka Jela hakusema chochote wakati uko Jela na wala hatukumsikia akikupigania wewe au familia yako.

Hivyo elewa kwamba mapambio yote wanayokuimbia leo hii likikufika la kukufika upo peke yako labda na Familia yako.

Kila La Heri man katika safari yako ngumu na ndefu ya kujitambua, ...
Hiyo safari ngumu na ndefu ya kujitambua ni yako maana kama kila anayejadili au kumuongelea Sugu ulitaka aje humu jf ili upate habari basi safari ndefu ya kujitambua unayo wewe. Watu walikuwa na vikao na harakati zao za siri na ndo hizo zilizosababisha Mh. akatoka. Usiishi kwa mazoea.
 
labda hiyo ndo pona yake, maana "jiwe " hatakagi mtu yeyote aongelewe zaidi yake.
 
Hiyo safari ngumu na ndefu ya kujitambua ni yako maana kama kila anayejadili au kumuongelea Sugu ulitaka aje humu jf ili upate habari basi safari ndefu ya kujitambua unayo wewe. Watu walikuwa na vikao na harakati zao za siri na ndo hizo zilizosababisha Mh. akatoka. Usiishi kwa mazoea.

Kwani wakati wa Lema kulikuwa hakuna hivyo unavyoviita vikao vya siri? Mbona kila siku tulikuwa tunasikia mkimuongelea?
 
Ilimsaidia nini sasa!!?? Kuhusu Lema watu walipiga kelele na bado ikawa kazi bure maana alishikiriwa mahabusu kwa muda mrefu sana lkn kwa Mh. Sugu nafikiri walirekebisha makosa waliyofanya kwa Lema ndomana matokeo yamekuwa tofauti. Kupiga kelele ovyo mitandaoni bila kuchukua hatua ni kazi bure ndomana harakati za Sugu zimefanyika kimyakimya na mambo yamekuwa mazuri.
 
Ilisaidia sisi kujua kwamba mlimjali Lema yeye pamoja na Familia yake!
 
Back
Top Bottom