Athari za Bwawa la Nyumba ya Mungu wilayani Mwanga kujaa maji kupita uwezo wake zimeanza kujitokeza baada ya wakazi zaidi ya 2,500 kutakiwa kuyahama makazi yao wilayani Same mkoani Kilimanjaro...
Mapenzi ni matamu, lakini yanapoingia dosari huweza kusababisha madhara na kufikia hatua hata ya waliopendana kuuana.
Matukio ya wanandoa kuuana yanaendelea kukithiri nchini na wanasaikolojia...
Salama wakuu,
Kuna kitu nimekipenda kwenye sekta ya usafirishaji wa mabasi ya mkoani, mimi nafanyia shughuli zangu Dodoma ila familia ipo Dar, hivyo mara nyingi weekend huwa naenda kuicheki kuna...
Hii shule ya ajabu kweli wamewageuza watoto swala kumwona mtoto akigraduate wazazi walipishwa laki kila kichwa. Yaani mambo ya hovyo kweli. Wazazi waomba waondoke na watoto wao wawapeleke kwa JPM
Ni swali nililojiuliza kwa muda mrefu na sijapata majibu. Kwamba kwanini watunga sheria wetu ambao ni wabunge hawapo kwenye mfumo wa pensheni kwamba nao walazimike kuchukua mafao yao wafikishapo...
Sina mengi cheki wenyewe hali ilivyo Manispaa imeshindwa kufanya kitu, mbunge, UKAWA, Mayor, Mkuu wa wilaya wameshindwa kutekeleza chochote kilichobaki ni madereva kugoma kaba
Yaani hii stendi...
Mtanzania aitwae Marande azizi(40) amekamatwa jana kwenye uwanja wa ndege wa indira gandhi akiwa na madawa ya kulevya aina ya heroine.
Madawa hayo yana thamani ya shilingi za kitanzania 5bill (15...
Mtu aliyewaita Polisi kuwa ni washenzi, waonevu na ******* ajulikanaye kwa Jina la Tumaini Edwin tarehe 14, May 2018 aliachiwa huru na Mahakama ya Wilaya ya Mlele huko Mkoani Katavi kwa maelezo ya...
katika tafiti zangu za hapa na pale nimegundua zaidi ya asilimia 68% ya manensi huwa uishia kuzalishwa na na kuendeleza maisha yao bila ya mwanaume adi uzeeni.bila ya ndoa au kushi na...
Duniani kuna vitu vya hovyo sana. Tanzania ni nchi maskini sana. Ni nchi ya wakulima na watu ambao wote ni watu maskini!
Unakuta mtu wa kawaida sana ana simu nne na kila simu ina line yake...
Habari zenu wana jamvi,
Nataka kuhakiki vyeti kwa ajili ya mwanafunzi anayetaka kufanya application ya mkopo HESLB, kuna baadhi ya vitu nimeshindwa kuvielewa, naomba mwenye uwelewa anieleweshe...
Nipo Bukoba, ninachoshangaa sana ni wingi wa wanyarwanda na waganda. Hivi sasa maduka makubwa mjini hapa ni ya wanyarwanda. Sasa maduka ya maziwa ni mengi sana na wamiliki ni wanyarwanda. Kila...
kwanza tunakupongeza kwa namna ulivyoanza vema kushughurikia swala mauaji ya kijana saimon mapunda (24)yaliyotokea jana kwenye kituo cha polisi mtera,hakukuwa na ulazima wowote askari mwita...
Katika toleo lililopita tuliona jinsi ambavyo abiria wanapoteza muda mwingi kituoni na kwenye daladala jijini Dar es Salaam kutokana na foleni. Endelea…
Uchunguzi wa gazeti hili, umebaini...
Wapendwa usiku wa kuamkia Jumapili ya tarehe 06.10.2013 bweni la shule ya sekondari ya AHMES linalotumiwa na wanafunzi wasichana liliungua moto, majira ya saa mbili usiku bweni lote liliteketea na...
Dar es Salaam. Baada ya mkurugenzi wa kampuni ya Tiptop Connection Limited, Hamis Shaaban Taletale maarufu kwa jina la Babu Tale, kukaa mahabusu katika kituo cha Polisi akisubiri amri ya kupelekwa...
Siku kama kumi zilizopita nilikuwa napata chakula cha mchana katika restaurant moja huko Boko nje kidogo ya jiji la Dar. Kwenye meza niliyokaa alikuwepo pia jamaa mmoja aliyenikuta hapo na tukawa...
Leo kiongozi wetu wa kitaifa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amealikwa kuwa mgeni rasmi katika mashindano ya kimataifa ya kuhifadhi kitabu kitukufu cha Quran yaliyopangwa kufanyika katika uwanja wa...
Hivi alikuwa wapi Siku zote kuwa mpole kama ambavyo alivyo sasa? Akiendelea hivi anaweza kutusahaulisha ' maudhi ' yake yote na tukajikuta tunampenda na hata kumkabidhi Wake na Watoto zetu...
Habari;
Ili nchi itawalike lazima kuwepo na majeshi;
Jeshi la polisi ndiyo lililopewa dhamana ya kurinda RAIA NA MALI ZAO;
Pamoja na idadi ya askari wetu waliopo, kuna changamoto kubwa sana ya...