wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,597
- 29,531
Yaani mi nilidhani labda ni mtumishi wa zamu au ni mwimbaji, au ni mpiga picha atakuwa ndani kaweka camera, kumbe ni tofauti na nilipomzania maana alikuja kukaa pembeni yangu..
Baada ya ibada kuanza pale mchungaji aliposema vitabu vyetu tutaimba wimbo namba fulani.. Alifungua zipu ya bag ndipo nilipopepesa jicho kumbe mle ndani kaweka kitabu cha mwimbieni Bwana na cha tenzi za roboni na pakti ya biscut na chupa ya maji ya uhai tena ile ya 1ltr ikiwa na maji kidogo..
Wito wangu kwa wanaume wote..
Tubadilike wakati mwingine tunajishushia heshima bila kujijua wenyewe.