Kwanini Halmashauri za Wilaya karibu nchi nzima zina magari mabovu mabovu ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Halmashauri za Wilaya suala la vyombo vya usafiri ni taabu sana ! Karibu kila Halmashauri ukienda unakuta wana magari mabovu mabovu sana [mikweche]… Mara tairi vipara..mara service hakuna..Mara huko chini zimekongoroka . Ni taabu sana.

Ni kwamba watu hawajui kutunza au ni ukata wa pesa ?

Kila ukienda kwenye Halmashauri kuna magari mabovu mabovu sana !


Unakuta na madereva nao wamechoka sana kuanzia nyuso zao mpaka mavazi yao!
 
Back
Top Bottom