Nimecheka sanaAzam
wasafi ni ya cloudsStar Tv bado ipo.?
Any way List ni hii..
1 AZAM TV
2 CLOUDS TV(TVE, WASAFI TV, DIZZIM TV,)
3 ITV(EATV, CAPITAL TV,)
4 STAR TV
5 TBC
Sasa mbona hujatupa opinion yakoHivi wajameni kati ya itv na star tv ni kituo kipi cha runinga wana ubora wa picha???
Kaweka kwenye kundi moja dah kuelewa hadi upewe Magnesium?wasafi ni ya clouds
Star Tv Kama haipo mbna umeipa namba au umeuliza ilimradi?Star Tv bado ipo.?
Any way List ni hii..
1 AZAM TV
2 CLOUDS TV(TVE, WASAFI TV, DIZZIM TV,)
3 ITV(EATV, CAPITAL TV,)
4 STAR TV
5 TBC
Star wao sasa hivi ni fred mwanjala makelele mengi ahahahaIvi channel ten hawajisikii aibu? Dooo siyo kwa ubora Mdogo vile....
Hivi wajameni kati ya itv na star tv ni kituo kipi cha runinga wana ubora wa picha???