Half London
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 261
- 117
Habari wana JF?
Ni mara nyingi nimekuwa nasikia hawa watu kutoka Kigoma mjini,nimekuwa na makundi kama matano ya wageni tofauti tofauti ya watalii waliopitia hifadhi ya taifa Gombe na Mahale,wakinieleza kuhusu hao Asheli.
Nasikia wana manyoya miili yao yote. Wakitoka huko wanaelekezwa Kigoma Mjini kwenda kuwaona hao Asheli.
Mwenye kuwajua naomba atujuze.Je, wananufaika vipi wanapotazamwa na wageni?
Naombeni majibu kwa wale wnaojua.