Tukio la aina yake limetokea usiku wa kuamkia ya Leo katika eneo la Rau Madukani manisapaa ya Moshi.Tukio hili limepelekea watu wengi kujazana nje ya nyumba ya wageni iitwayo #SELEEN Mara tuu...
Jana nilikuwa salooon mpya (Sijaizoea) maeneo ya Sinza.... Kuna dogo kaja, analalamika nadhani ni mgeni.. kaomba kunyoa ndevu na Kichwa, ila ndevu watumie magic...... kumbe wamempiga stima ya...
Natafuta gari Mkopo million nne na nusu,kila mwezi nitakuwa nalipa laki nne,ni mfanyakazi,nipo kimara mwisho,aina ya gari yoyote Nzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama taito inavyosema hapo juu, leo nikapata message kitu kimeingia, kwa sisi wa TGO umewahi sijui wenzetu TG zingine.
A u ni kwa ajili kununua iftari? AL eid Je? Tutapewa ?
Saa 6.40mchana, kituo cha gerezani,kijana mmoja anaonekana akikata tiketi na kwenda kusubiri basi la Kimara liingie. Mabasi mengi yamepaki ilihali abiria wengi wakiwa wamesimama wakisubiri. Hawana...
Tukiacha hii ya Forex ambayo ilifanikiwa kwa viwango vya juu, Lakini kwa harakaharaka kuna upungufu mkubwa Wa SeminaFursa huku mitaani.
-Wale jamaa wanaofundisha jinsi ya kufanikiwa katika kilimo...
Nimeona niwamegee kidogo hiki kitu wasioelewa wapate kuelewa.
Leo nimekutana na simu inayouzwa 70,000/= bei za kawaida, lakini kwasababu ya "no test" ilikua inauzwa 4000/= kwa haraka haraka ni...
Mwezi mtukufu wa Ramadhani ndiyo umeshawadia na waislamu wako kwenye funga ya muda wa siku 30 au 29 kuanzia Jumamosi iliyopita. Kama tujuavyo, funga ni nguzo ya nne miongoni mwa nguzo tano za...
Mm siongelei unafiki ! Mm si mwanachama wa chama chochote cha siasa. Mm ni mtumishi wa umma niliyetukuka.
Kilio chetu kimejibiwa na Mh. Rais. Mishahara imepanda vizuri kabisa.Imekuwa minono sana...
Kuna watu wanahisi pindi wakiwa wafuasi wa dini fulani basi hapo hapo wanakua wacha Mungu.
Ukweli ni kuwa dini ni mfumo wenye kanuni, sheria pamoja na taratibu ambazo zikifuatwa sawasawa...
Mwaka 1993 mwezi March Mpiga picha maarufu wa Africa kusini (PhotoJournalist) Kevin Carter alitembelea Nchi ya Sudan kwa ajili ya kupiga picha za habari kuhusiana na baa la njaa lililoikabili nchi...
Kuli gana na weledi mzuriwa askari polisi hususani usalama barabarani lipo hitaji wajulikane kwa jina na vitambulisho vyao ili pongezi ziwafikie na kutambua michango yao kwa majina yao, kulikoni...
Ndg. Wana JF ninasalimu wote,
Siku za hivi karibuni Mkuu wa Mkoa wa Dar ndg. Paul Makonda ameanzisha zoezi la kuwaita akina mama waliotelekezwa na wanaume waliowazalisha.
Kwa macho na akili ya...
IMEANDALIWA NA MAWAKILI
1. Askari akikuweka chini ya ulinzi muulize kitambulisho ni haki yako.
2. Askari akikukamata akuoneshe kitambulisho chenye muhuri wa mahakama kama anasema ametumwa na...
Huko mtaani na sehemu nyingine ukisema umtaje mwalimu ata kwa negative kidogo basi utashambuliwa kweli kweli.
Tena ukiwa na mafanikio yanayotokana na elimu uliyoipata watataka ukikutana na...
Wazazi wa mwanamume mmoja wa umri wa miaka 30 wametumia mbinu zisizo za kawaida kumlazimisha mto wao huyo kuhama nyumba yao.
Nyaraka za mahakama zinasema kuwa Michael Ratondo halipi kodi ya...
hasa kwa watu waliokata tamaa.
hapa naona ITV wadada wakibongo huko India ambao wanadanganywa kutafutiwa kazi lkn wameishia kujiuza/kuuzishwa miili yao huku mnufaikaji mkuu wa zoezi hilo ni...
Ukiwa kama member wa JF basi kaa ukijua ww ni mtu wa level tofauti na Social Media nyingine
#:Main topic! naomba ufafanuzi kwenye hizi point zangu tatu (3).
#: kwanini asilimia 85% ya...
BREAKING NEWS!!!
Kampuni ya Maxcom Africa PLC- Maxmalipo na shirika la ndege la Precision Air Leo wametiliana saini makubaliano ya kuwezesha malipo ya Tiketi za ndege kielektroniki.
Katika...