Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Nimeona niwamegee kidogo hiki kitu wasioelewa wapate kuelewa.
Leo nimekutana na simu inayouzwa 70,000/= bei za kawaida, lakini kwasababu ya "no test" ilikua inauzwa 4000/= kwa haraka haraka ni bei za kutupa, sikuwa na nguvu hata ya kuinunua.
Kawaida wauzaji wa vitu vya "no test" hilo neno linakuhusu wewe, lakini mwenye kuuza hawezi kukuuzia bei niliyoitaja iwapo kama ana nia ya kukusaidia, ujuwe ameshagundua udhaifu wa kitu hicho.
Kibongo bongo wanaita vimeo, kizanzibar wametunga jina jipya wanaita muwa.