Startimes mbona wanapandisha vifurushi daily?

Startimes mbona wanapandisha vifurushi daily?

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,607
Reaction score
4,771
Kifurushi cha nyota kilikua 4000 mara 5000 mara 6000 mara 7000
Cha mambo kimefika 13000
Cha nyota dishi ni 10000
Hivi kwanini mnawafanyia watanzania hivi kwa kuwakatoa local channel???
Kiukweli hawajielewi mfano wanadai kifurushi cha nyota kwa siku ni 500 ila ukilipia wanakataa tena

Huu ni utapeli???
HAWA JAMAA SIKU HIZI HAWAJIELEWI KBS
IMG_20180703_211529.jpg

Halafu kifurushi cha 7000 channel 19????[emoji15] [emoji15] [emoji15] haki wanatania hawa
 
Hizi bei walishapandisha kama miezi miwili iliyopita. Tatizo wewe ulikuwa ulipii huko nyuma. Tangu mwez wa tano walipandisha.
 
Kifurushi cha nyota kilikua 4000 mara 5000 mara 6000 mara 7000
Cha mambo kimefika 13000
Cha nyota dishi ni 10000
Hivi kwanini mnawafanyia watanzania hivi kwa kuwakatoa local channel???
Kiukweli hawajielewi mfano wanadai kifurushi cha nyota kwa siku ni 500 ila ukilipia wanakataa tena

Huu ni utapeli???
HAWA JAMAA SIKU HIZI HAWAJIELEWI KBSView attachment 801884

Wakale wapi? Maswali mengine bhana!
 
Back
Top Bottom