Hivi hili la Prof Shivji kumtwanga mwenzake kijembe kama hiki limekaaje ??
Hivi huyu Shivji si ndiye yule muumini wa ile falsafa mfu ya Juche ambayo imechangia kuleta umasikini mkubwa sana hapa...
Wakuu kwa wale mliobahatika kuskia TBC international hasa wale wapenzi wa electro music mtakubaliana nami kwamba hawa jamaa ni shida na unaweza usijue kama ni TBC maana kama ni pini za ukweli hawa...
Tafsiri isiyo sahihi juu ya uongozi imetusababishia changamoto kubwa hadi sasa. Mtu sio lazima uwe Rais ili uhesabiwe kuwa ni kiongozi. Maadam tu kuna watu wanaotegemea huduma flani flani toka...
Jambo baya kabisa linalotuathiri watanzania; ni kudhani kwamba mtu hawezi kuwa kiongozi mpaka awe na cheo kikubwa, mamlaka au nguvu nyingi. Hali hiyo hutupelekea wengi kuamua kuwa wahanga wa...
Tatizo hili linachangiwa na sababu zilizo ndani na nje ya uwezo wa Jiji .
Sababu zilizo ndani ya uwezo wa halmashauri hii ni pamoja na mamlaka ya serikali za mitaa kuwaleta pamoja wananchi...
NAOMBA KUULIZA:Kuna polisi akiendesha gari akagonga na aliyegongwa akafariki hakuna kilichoendelea hadi leo yupo mtaani anadunda tu kwani sheria za nchi hii ni kwa raia tu wengine.
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania Bw. Abdul Nondo amekamatwa na Auxilliary police wa UDSM majira ya saa tatu usiku huu chuoni hapo akiwa pamoja na baadhi ya wanafunzi wenzie.
Mkuu wa...
Wanajamvi karibuni tutoe maoni ama ushari Kama mada inavyo jieleza. Watumishi wakada ya chini wamekuwa wakikumbana na hali ngumu sana ya maisha baada yakusitaafu nadhani nikwasababu ya mabadiriko...
Mfanyabiashara wa Mirerani, Joseph Mwakipesile maarufu Chusa ametajwa tena kortini akidaiwa ndiye aliyetoa maagizo ya kuuawa kwa mfanyabiashara mwenzake, Erasto Msuya.
Mbali na kutoa maagizo...
Tanzanian military has deployed tanks in Mererani to secure Tanzanite (Photo courtesy of Issa Michuzi Instagram).
UPDATE:
JWTZ wametoa maelezo jana magari hayo ya deraya yako huko Mererani kwa...
Kama kichea cha habari husika .
Nawasalimu wote huku ndani.
Poleni Na kufungiwa Na wengine yalitupata ya kutupata.Basi tunamshukuru Mungu mana ni mwingi wa Rehema Na utukufu..
Je mwenzangu...
Kwa karibu mwezi sasa nimegundua kusafiri na daladala kutokea Gerezani kwenda Manzese, mabibo, Urafiki,Sinza hata Mwenge njia bora sasa ni kuepuka kabisa kutumia usafiri wa mwendokasi
Kama una...
Rasilimali ni neno pana lenye maana na tafsiri nyingi .sana..katika ulimwengu wa Leo .ili uweze kujikwamua kwa namna yoyote ile ..kielimu,kitamaduni ,kiuchumi na nyanja mbali mbali lazima uwe na...
Sisi sote tunafahamu ahadi mbalimbali zilizokuwa zinatolewa na Serikali ya awamu ya tatu na ya nne kuwa Kiwanda cha General Tyre kingekarabiwa na kufunguliwa ili ianze kazi na wananchi kupata...
Kuna namna nyingi za kummaliza mtu bila hata ya kumgusa mwili (physical)..
Moja wapo ni kuangalia zile sehemua aun mtu anavyopenda kwa mfano mali.biashara, mke, mchumba, watoto, elimu n.k hutumika...
Mjane wa Erasto Msuya, Mariam Mrita apandishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za mauaji ya Aneth Msuya (wifi yake).
==========
Miriam Stephen Mrita (41), ambaye alikuwa...
Wakuu
Naomba Msaada Na Maelezo Yatakayonisaidia Katika Tatizo Nililonalo
Ni Hivi,Siku Ya Jumatano Nilipata Ajali(Niligongwa Na Pikipiki(Mimi nilikuwa na Gari) Pikipiki Ile Ilikuwa Site Yangu Na...
Vijana wengi wanadhaniwa kuja kupoteza ajira kutokana na agizo la Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Fortunatus Muslim la kuwataka madereva wanaoendesha vyombo vya moto kuwa na leseni...
Habari wanajamvi,mimi ni mtumiaji wa kisimbuzi cha Azam kwa takribani wiki tatu sasa baadhi ya vipindi vyao haviruki hewani na ukiwauliza wanasema kuna matatizo ya kiufundi.
Badala yake...
Heshima sana wanajamvi,
Leo nimeona wacha nitoe pongezi hata kama pongezi zenyewe si za dhati
Ziara ya waziri Lugola Mkoani Arusha imeleta neema na furaha kubwa ingawa hatujui kama furaha yetu...