AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,200
- 5,462
Nashindwa kuwatofautisha hao watu
Tofauti ya msingi kati ya propaganda na uongo iko kwenye lengo, mfumo, na uenezaji wake. Ingawa propaganda mara nyingi hutumia uongo, si kila uongo ni propaganda.Nashindwa kuwatofautisha hao watu
Uzi ufungweUwongo = taarifa ya uongo.
Propaganda = kampeni ya kushawishi watu.
But propaganda can also be a lieLying is a mistake, propaganda is a strategy.
Propaganda=focus ni kushawishi watu, iwe kwa ukweli, nusu ukweli, au uongo.Huaga najiuliza je wanasiasa ni waongo au wanapropaganda kupitia nyie nikagundua wanasiasa wengi waongo