Wakuu,
Sisi wote ni vijana,hivyo ni vizuri kushirikishana.
Miye ningependa kwenda nchini Kuwaiti kuwa minajili ya kibiashara,na pia pia kwa makazi ya muda mfupi.
Ningependa kujuzwa na wale...
Kuelimika maana yake ni kuwa na maarifa ama kujua vitu vingi vyenye kukusaidia kuyajua mazingira na kukabiliana na changamoto zake kuliko awali
Mtanzania anayejua Kiingereza inaamisha anajua...
Aisee leo nimeletewa kadi ya tisa ya mchango wa harusi, single 80,000
Nyingine ni;
1. 40,000 Sept
2. 90,000 Sept
3. 40,000 Oct
4. 50,000 Sept
6. 70,000 Aug
7. 150,000 Oct
8. 35,000 Nov
Total...
Waaah, sijawahi waza kuna baiskeli za bei hii. Eti $ 11,999.99. Na hapo bado nitumie miguu yangu kuisukuma huko milima ya uluguru, na hapo inakuja bila pedals, hizo unalipia extra.
Msimu unaelekea kuanza wa ligi kuu Tanzania Bara 2018/2019 ambapo kwa sasa utajulikana kama TPL
Ila hatujafaham nani au kampuni gani ya television itakuwa inarusha hayo matangazo moja kwa moja...
Wimbi la Wizi na Utapeli kupitia mitandao ya simu linazidi kuongezeka,Vijana wanatafuta njia nyepesi za kupiga pesa.
Nimefanya study yangu ndani ya mwezi huu nimegundua hawa matapeli ni...
Shirika la ndege la Saudi Arabia liitwalo Saudia Airline limesema litasimamisha safari zake kwenda mji wa Toronto Canada kuanzia Jumatatu ya wiki ijayo.
Hatua hii inakuja baada ya mgogoro baina...
Ni baada ya kuona tangazo la TCRA kuhusu dstv kufutiwa leseni. Nimejaribu kuangalia chanel muda huu kwenye king'amuzi cha dstv, nashangaa kukuta hizo chanel mbili hapo juu, hazipo kwenye orodha ya...
Ni KERO na hzi SMS za waganga,kwa nini simu yangu inakuwa ubao wa matangazo???????
lafiki yangu juma huyu mzee ndiye aliye nisaidia utajili nilionao sasa mpigie hizi namba 0742263717 ninaimani...
RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amesema Afrika itaacha kutegemea fedha za wahisani katika shughuli zake za maendeleo endapo itadhibiti usafirishaji fedha haramu, itaongeza ukusanyaji kodi na pia...
Habari zenu wotehumu.
Ninaomba kufahamishwa kitu hapa tafadhali.
Ni kuhusu uongozi, kwamba katika nchi kuna viongozi wakuu.
Kwanza ni,rais 2,makamu wa rais.. alafu kuna waziri mkuu, jaji mkuu...
Simu yangu ilipatwa tatizo la kuto vibrate nikapeleka kwa fundi mazingira niliyo peleka skua na uwenyeji nilikua safarini fundi alitengeneza vizuri tatizo likaisha tena kwa mda mfupi tu, zimepita...
Ni swali nililoulizwa na mdogo wangu wa darasa la tano.
Kaniuliza, kaka hizi wizara mbili
1. Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala bora
2. Ofisi ya Rais, tawala za mikoa na serikali za mitaa...
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 4.4 Kipimo cha tetemeko na kina cha Kilometa 10 limetokea katika baadhi ya maeneo ya mkoa wa Rukwa na maeneo ya jirani usiku wa kuamkia leo
Tetemeko hilo ambalo...
PARAPANDA...
Lyrics1:
NYERERE:Karibu Mzee kingunge,kwenye makazi ya milele
Mi huku na mji wangu,tayari unaitwa Nyerere
Nimeshtuka kukuona huku,nini chanzo cha msiba?
KINGUNGE:Ni mipango ya...
Kuna watu huwa wanastaafu kazi fulani halafu wanapewa kazi nyingine ha huko tena wanastaafu. Sasa je hawa watu wanakuwa na mafao ya kustaafu mawili au inakuwaje? Mfano ukisikiliza na kufuatilia...
MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abbas amesema serikali haijakurupuka kutekeleza mradi mkubwa zaidi wa umeme nchini wa Stiegler’s Gorge utakaozalisha umeme mwingi kuliko wote unaozalishwa...
Mkuu wa mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali Mstaafu Emmanuel Maganga ameiagiza Idara ya Uhamiaji kuanza msako wa kuwakamata wahamiaji haramu waliojificha kwenye mashamba na majumbani.
Ametoa agizo...
Kuna watu wengi wanapofikia hatua ya Kuoa, wanakwamba linapokuja suala la Mahari.
Wakati wingine watu wanaingia kwenye ndoa na madeni makubwa ili kukidhi matakwa ya Mahari na sherehe.
Wazazi...
NAIBU Katibu Mkuu wa Chadema (Zanzibar), Salum Mwalimu, amesema milango ipo wazi kwa wabunge na madiwani wa chama hicho wanaokubali kurubuniwa na kukikimbia chama
Alisema wabunge na madiwani hao...