Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yametoka majina juzi ya ajira mpya za afya. Vijana wameripoti , sasa wemerudishwa eti mpaka hela zitoke. Ni kweli au ndiyo gheresha? Tunaomba mwenye kujua atupe ufafanuzi
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Hii picha Masoud Kipanya aliichora mwaka 2015, miaka mitatu baadaye Wachina wametoa aina hii mpya ya Bajaji, Je wao ndiyo wameiba wazo la Masoud, na kama wameiba wazo hili Masoud haoni umuhimu wa...
3 Reactions
17 Replies
7K Views
Shirika la Umeme Nchini(Tanesco) limesitisha huduma ya umeme kwa baadhi ya taasisi za Serikali zilizopo mkoani Kilimanjaro baada ya malimbikizo ya deni kufika kiasi cha shilingi bilioni tatu...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Pembe nyingi tu zipatazo 214 zimekamatwa na Polisi wa Mkoa wa kinondoni maeneo ya kimara usiku wa kuamkia leo.hongera kwao askari wa doria pamoja na kamanda wa polisi mkoa wa kinondoni.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna huu msemo eti wanajenga fly over.Hivi kweli mtu uloenda shule unaweza sema hivyo,?Halafu huu usemi ni Bongo tu nimeusikia,ngoja barabara zenye hip fly over ziishe nione kama kuna gari itaruka.
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwa mwendelezo huu ambao kusafiri usiku kumekuwa heri mno kuwapisha wale jamaa na kero zao, tutegemee matukio mengi tu ya Aina hii. Eeh mola wetu ni Dua zetu kwako utunusuru na haya ambayo common...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Hivi ndivyo Fatma Karume alivyoandika katika mtandao wa twitter: Mwisho,for those Tznians travelling abroad,if they ask you why you are travelling say "Nina kwenda kwa Kinyozi".Maana kwenda kwa...
10 Reactions
39 Replies
9K Views
..
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nimeshindwa kumuelewa huyu mzungu kamaanisha nn hii message
0 Reactions
7 Replies
2K Views
KATIKA nchi nyingi anwani hutia ndani nchi, jiji, na barabara. Acheni basi tuseme “nchi” ya dunia ni kikundi cha nyota cha Kilimia, “jiji” lake ni mfumo wa jua, yaani, jua pamoja na sayari zake...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
nyingine.
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Nimemaliza kusoma kitabu cha kumi mwaka kwa 2018. Hiki ni kitabu cha Benjamin Carson: You have a brain… kitabu hiki kinaelezea jinsi ambavyo Ben na kaka yake walivyolelewa na mama yao, na zaidi ni...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
Wakuu, nimetoka sehemu pana king'amuzi cha Azam TV na kukuta fainali ya mashindano ya Ndondo. Cha ajabu natafuta Clouds kwenye DSTv naambulia giza tu. Kulikoni?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ndani ya wiki moja waandishi wa habari wawili wamepoteza maisha ,tumeona mwandishi wa habari wa wizara ya viwanda na biashara amefariki, na huyu wa leo wa wizara ya maliasili na utarii naye...
14 Reactions
53 Replies
9K Views
Kumekuwa na hurka ya polisi kufukuzia raia wasio vaa helmt hata wakiwa na abilia ,swala hili limekuwa kero kwa wananchi wa namanga na longido kwa ujumla ,kwa mujibo wa vijana bodaboda wakishikwa...
3 Reactions
29 Replies
6K Views
PHONE ADDICTION SIGNS AND EFFECTS. SIGNS:- 1. A need to use the cell phone more and more often in order to achieve the same desired effect. 2. Persistent failed attempts to use cell phone less...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mr Ebo aliwahi kuimba wimbo Fulani "wazee wasamani natusuga,oooh wazee wasamani nadanganya oooh....''. Wazee wetu ,wazazi na watu wengine waliotuzidi umri kuna vitu walikuwa wanatuambia ili...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hizi ajali zinazoendelea kupanda kasi kila siku kiukwel haya ndo matokea halisi ya ukaguaji vyetii Hi inatokana na malena wengi wasio kua na uzoefu kukabidhiwa magari ya viongozi,, kisa wana...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Tangu mwaka jana mwezi wa 9, nimemaliza michakato ya kulipia Gharama za kuunganishiwa umeme lakini mpaka leo hii trh 25/04 mbona kimya? nyumba yenyewe nimejenga kwa shida mpaka hapa nilipofikia...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…