miaka ya nyuma kuna dawa ya kulainisha nywele ilikuwa inaitwa kalikiti.
je ni kweli ilikuwa inaitwa kalikiti?
ilo jina lina maana gani?
correct me if am wrong
Wananchi katika kata ya Chitete wilayani Momba wamevunja daraja la Kiteputepu linalounganisha vijiji vya Chitete na Mlomba kutokana na serikali kushindwa kukarabati hivyo kuchakaa kupita kiasi na...
Mbunge wa Kyadondo nchini Uganda Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine amekamatwa muda mfupi baada ya mahakama ya kijeshi kumuondolea mashtaka ya umiliki haramu wa silaha nchini.
Muda mfupi baada...
Wakuu nilikua kwenye harakati za kujenga uhusiano na ndugu zangu upande wa baba ukizingatia mimi ni mtoto wa kando. Katika kutafuta mawasiliano nao nikabahatika kupata namba ya dada na kaka...
Binafsi nashukuru viongozi wa timu ya Serengeti boys pia wachezaji wake kwa utetezi wa nguvu juu ya Taifa letu.
PENDEKEZO
Nashauri serikali kuwekeza katika timu hii kwa nguvu zote na wasiruhusu...
Wakuu nianze hivi, mimi miez kama mitatu imepita nlikuwa nakatiza kariakoo-mtaa wa Agrey na mshikaji wangu mara akapita binti mkali jamaa akanishtua nimwangalie ( kama ilivyo hulka ya wanaume...
Updates:
Jeshi la polisi mkoa wa Simiyu limemwachia kwa dhamana Mwandishi wa habari wa gazeti la Uhuru mkoani Simiyu,Costantine Mathias waliokuwa wamemshikilia tangu asubuhi kwa madai ya...
Habari zenu wakùu nimatumaini yangu hamjambo.Inavyofahamika katika umoja wa mataifa (UN)kwamba kuna nchi saba tu zinazomiliki silaha za nyuklia nazo ni Marekani,Urusi,China,India,Pakistan...
Habari za muda wakuu.katika watu ambao wamefanikiwa kuacha tabia mbovu kwa kutumia subconscious mind ni mimi mmoja wapo.
Nimefanya jambo moja la kuirekodi sauti yangu mwenyewe huku nikiikemea...
Habari wana jamvi.
Naomba mnifahamishe sehemu nzuri ya ufukweni ya kwenda weekend na watoto(wawili under five yrs) nipo dar.
Ningependa kujua bei pia kama entrance fee,chakula and the like...
habari wana jf natumaini wote mko poa.
leo nmekutana na kondakta wa daladala amenisimulia jambo la linalomtokea usiku.
anasema huu ni mwezi wa pili toka atoke kuoa kwao tanga na kuja na...
Dar es Salaam. Wakili Jeremiah Mtobesya anayewatetea viongozi tisa wa Chadema akiwamo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, amejitoa kwenye kesi hiyo.
Mtobesya amechukua uamuzi huo leo Agosti...