Tetesi: Ushauri Kuhusu hawa Wanawake

toughlendon_1

JF-Expert Member
Feb 7, 2018
5,883
10,376
Wakuu nianze hivi, mimi miez kama mitatu imepita nlikuwa nakatiza kariakoo-mtaa wa Agrey na mshikaji wangu mara akapita binti mkali jamaa akanishtua nimwangalie ( kama ilivyo hulka ya wanaume wote), kuchek mtoto mzuri, nikamtania mshkaji wangu "nimwite nikuonyeshe viwango vyangu enzi zangu " akasema huwez, Mwanaume nikajitosa nikaongea na katoto kazuri tukaelewana kukauliza unakaa wapi, kanakaa huko huko nakokaa mimi, nikamwambia nenda unapoenda ukiwa unarud niambie turud wote, bila hiyana mtoto akanishtua, nikarud nae mtaani nikaenda kujibanza nae sehemu tukapiga stori nikakapa nauli kakasepa, Relationship ikawa imeanza ivyo baada ya few weeks mnyamwezi nkajilia vyangu. KWENYE MKANGANYIKO SASA: Mtoto tukawa tunawasiliana kama kawaida, nikasafiri kikazi nikaenda Arusha, wakati nipo kikazi Arusha nikapigiwa simu na mwanamke simfahamu(ana sauti nzuri), anadai tulishawah kukutana na labda nlipoteza namba yake ila kila nkivuta picha sikumbuki , nkamwambia nkirud dar ntakuchek maana nae yupo dar , nlivyorud dar nikamchek, tukapanga kuonana, sasa hapa technique yangu nimwone kwanza yeye kama hafai nimkimbie, nikamleta mpaka mtaani nikamsimamisha sehemu nilivyomwona mtoto chombo nikampeleka home tukapiga piga stori, ila kwa sisi mafundi wa one night stand nikala kitu kitamu, tulivyomaliza akadai hajajua ata nimemlaje eti nimemla kisailensa....na kwakuwa ni katamu nilikatunuku mashine haswa kakaniambia naomba niseme UKWELI! UKWELI WENYEWE SASA: Kumbe kalitumwa na yule mwanamke wa kwanza kanipeleleze kama nampenda kweli sababu yule alikuwa na wanaume wawili mimi na mwingine(uknown)., kakasema ushenz wa rafiki yake wote, si nimeshakakoleza, kakampigia simu mbele yangu na nikasikia, nikakaruhusu katoto kazuri kakaondoka, sasa kalichokosea kalivyosepa, kameshayatibua kalipiga simu kakamwambia ukweli kwamba kananipenda ye aendelee na yule mwingine kenyewe kataendelea na mimi, WAKUU HADI SASA UMETOKEA UGOMVI MKUBWA NA WAMEKUWA MAADUI UNGEKUWA MIMI UNGEFANYAJE ? Ushauri please.....




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yaani mhenga lakini maadishi kama katoto cha 2000's aiseee


Ndukiiiii ‍♂️‍♂️‍♂️

Sio enzi za zamani enzi za kutongoza tongoza wanawake mkuu, humu kuna watoto wa 2000 ? waambie wapambane na shule mkuu...


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Murudie Mungu Zinaa sio Nzuri Mpumbavu wewe.

Hakuna asie na Mungu humu ndani bahati mbaya hakuna binadamu akaumbwa akawa mzima kila idara alafu akafa bikra yan kwanamna moja au ningine atafuta namna yakupata ile kitu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hakuna asie na Mungu humu ndani bahati mbaya hakuna binadamu akaumbwa akawa mzima kila idara alafu akafa bikra yan kwanamna moja au ningine atafuta namna yakupata ile kitu


Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimekwambia Umrudie Mungu sijakwambia lingine Kwan kuna sababu gani ya kula kula Kila unachokiona Mbele kisa hakuna atakaekufa na Bikra yake?? tubu simama imara.
 
Nimekwambia Umrudie Mungu sijakwambia lingine Kwan kuna sababu gani ya kula kula Kila unachokiona Mbele kisa hakuna atakaekufa na Bikra yake?? tubu simama imara.

haya mkuu, nimekuelewa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Biashara hiyo ya mahawara, mbona hainaga kupiga mahesabu hivyo?

Watu wanaishi kwao unawezaje kuumiza kichwa kwa mfano?

Hauna uwezo wa kukontroo mahawara zaidi ya wawili na kuwaridhidha kila mmoja kwa muda wake?

Watu wanaishi na wanawake zaidi ya hao tena ni wa ndoa wakimtegemea kabisa na bado wote akawaridhisha, sembuse mahawara jamani, mbona simple tu?

Halafu mkuu stori yako imefanana na yangu %90, isipokuwa tofauti ni madhununi ya huyo mvamizi!
Kwangu mimi, huyu intercepter alisimuliwa swala zima la falagha na uhongaji wa kufuru, wivu ukampanda akajilengesha kwa simu hivyohivyo.
Kwa kuwa nilijua ni mbinu, ilibidi nimtoze faini ya kiingilio ili kumuunga kwenye group na akatoa ili ahakikishe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story za kipumbavu kabisa? wewe kabila gani? muda uliotumia kuandika huu uzinzi wako ungetafuta pesa. Umri haugandi kijana fainali uzeeni. we hesabu pupuchi tu.
 
Back
Top Bottom