figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,560
- 62,141
Wananchi katika kata ya Chitete wilayani Momba wamevunja daraja la Kiteputepu linalounganisha vijiji vya Chitete na Mlomba kutokana na serikali kushindwa kukarabati hivyo kuchakaa kupita kiasi na kusababisha vifo vya watu wanne waliotumbukia mtoni kwa nyakati tofauti.