Habari wanajamii forum
Kuna mishe nimeibuni,bracelets za jamii forum,vipi ninaweza pata sapoti kutoka kwemu wakuu maana nimeona sio mbaya kibongobongo tukaufagilia mtandao wetu pendwa
N.B.SIJAJUA...
Habari wanajamii forum
Kuna mishe nimeibuni,bracelets za jamii forum,vipi ninaweza pata sapoti kutoka kwemu wakuu maana nimeona sio mbaya kibongobongo tukaufagilia mtandao wetu pendwa
N.B.SIJAJUA...
Wakuu habari za jioni, kama wiki mbili zilizopita niliomba msaada wa kuoneshwa zilipo ofisi za jumuiya ya kiuchumi ya Nchi za kusini Mwa jangwa la sahara SADC hapa Tanzania,
Kuna mdau alinipa...
TV Station pekee yenye "Mazungumzo Baada ya Habari" na "Matangazo ya Vifo". Na taarifa ya habari ina tarehe!!
Kama kuna station nyingine zenye haya tujuzane. La sivyo TBC tafadhali mjipime muende...
Taxify ni ride-hailing company kama ilivyo Uber, Lyft, na zinginezo kama hizo.
Ni kampuni inayotokea/ iliyoanzishwa huko Estonia.
Hapa Tanzania/ Dar nadhani ndo imeingia muda si mrefu uliopita...
WATU watatu ambao hawakufahamika mara moja majina yao wameokotwa wakiwa wameuwawa kandokando mwa barabara katika kijiji cha Patamela kata ya Saza wilaya ya Songwe mkoani Songwe.
======
Songwe...
Habari wana JF. Mwenye kufahamu wanao safirisha mizigo kama vitanda, fridge, jiko nk) anipe muongozo tafadhali...
Shukran.
Sent using Jamii Forums mobile app
BAKWATA KIBARAKA KIPINDI MAALUM KILICHORUSHWA NA RADIO KHERI, RADIO QUIBLATAIN NA RADIO IMAAN 1 OKTOBA 2012
Mpenzi msomaji kipindi kilirushwa mubashar (live) na Radio Kheri (Dar es Salaam), Radio...
"Mwanaume mmoja huko mkoani Mara yamkuta makubwa, mkewe amfunga ashindwa kufanya ‘kazi’.
Mwanaume huyo mkazi wa Nyakato mkoani humo, amelalamika kufungwa na mkewe nguvu za kiume na kila akijaribu...
Wiki kama mbili hv zilopita nilikatisha Kwa miguu nikitokea maeneo ya KB nikakatisha vichochoro flan kama unakuja SWIS mida ya SAA NNE ucku,nilivyokaribia karibu na car wash flan nikakutana na...
Kwani ving'amuzi vya startimes ni mradi wa nani?kwani kwangu kina scratch za kufa mtu na sometimes unasikia sauti bila kuona picha hii nchi naona kila kitu wanafanya dili
Mtoto mwenye umri wa miaka 10 wanafunzi wa darasa la pili amefariki dunia baada ya gari ya wagonjwa iliyokuwa ikimpeleka hospitali ya Rufaa mbeya kupata ajali maeneo ya magamba
======...
TV Station pekee yenye "Mazungumzo Baada ya Habari" na "Matangazo ya Vifo". Na taarifa ya habari ina tarehe!!
Kama kuna station nyingine zenye haya tujuzane. La sivyo TBC tafadhali mjipime...
Hongereni kutupa taarifa fupi fupi na za uhakika.Mnanichafua kitu kimoja tu na pamoja na kuwapenda.Mnakoseaga sana misamiati au spellings za Kiswahili hadi mtu anakuwa na mashaka habari hii ni ya...
Hongereni kutupa taarifa fupi fupi na za uhakika.Mnanichafua kitu kimoja tu na pamoja na kuwapenda.Mnakoseaga sana misamiati au spellings za Kiswahili hadi mtu anakuwa na mashaka habari hii ni ya...
"Mwanaume mmoja huko mkoani Mara yamkuta makubwa, mkewe amfunga ashindwa kufanya ‘kazi’.
Mwanaume huyo mkazi wa Nyakato mkoani humo, amelalamika kufungwa na mkewe nguvu za kiume na kila akijaribu...
-Mwanamke huyo alipoteza fahamu kwa zaidi ya saa 9, hali iliyowafanya majirani na jamaa kuandaa mazishi
-Aliamka baadaye na kudai kuwa mumewe alimmaliza kwa kumuoa mwana wao wa kike
-Mumewe...
Amani ya bwana iwe nanyi nyote;
Kwa utafiti wangu ambao nimeufanya kwa mda mrefu sasa upatao mwaka mmoja na wiki ishirini na nne kwa watu tofautitofauti na kwa jamii mbalimbali ninekuja kugundua...