lunae Member Joined Aug 21, 2018 Posts 81 Reaction score 130 Aug 24, 2018 #1 TV Station pekee yenye "Mazungumzo Baada ya Habari" na "Matangazo ya Vifo". Na taarifa ya habari ina tarehe!! Kama kuna station nyingine zenye haya tujuzane. La sivyo TBC tafadhali mjipime muende na tamaduni za TV Station zenye mafanikio
TV Station pekee yenye "Mazungumzo Baada ya Habari" na "Matangazo ya Vifo". Na taarifa ya habari ina tarehe!! Kama kuna station nyingine zenye haya tujuzane. La sivyo TBC tafadhali mjipime muende na tamaduni za TV Station zenye mafanikio
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 Aug 24, 2018 #2 Mh sikuelewi kama hiyo TBC