Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya TBC!!!!

lunae

Member
Aug 21, 2018
81
130
TV Station pekee yenye "Mazungumzo Baada ya Habari" na "Matangazo ya Vifo". Na taarifa ya habari ina tarehe!!

Kama kuna station nyingine zenye haya tujuzane. La sivyo TBC tafadhali mjipime muende na tamaduni za TV Station zenye mafanikio
 
Wadau kumradhi huu uzi umejirudia mara mbili. Mtandao haukuwa mzuri wakati natuma.
Naomba tuache uzi huu tufuatilie ule mwingine wenye tittle kama hii.
Lengo ni kuboresha TBC si kutukana
 
Back
Top Bottom