Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,479
- 9,020
Wasalaam,
Title ya uzi inajieleza. Kwa mtu anayetaka kuomba (to apply for) Leseni ndogo ya Uchimbaji Madini (Primary Mining Licence), hatua ya kwanza huwa ni kutafuta eneo/ardhi kwanza, yaani to identify area.
Je, mtu atajuaje endapo eneo husika lishakatiwa Leseni tayari ama bado lipo wazi?
Kwa wenye uelewa kuhusu hili naomba mnifahamishe. Ahsante.
-Kaveli-