M mymy JF-Expert Member Joined Dec 22, 2011 Posts 296 Reaction score 112 Aug 24, 2018 #1 Habari wana JF. Mwenye kufahamu wanao safirisha mizigo kama vitanda, fridge, jiko nk) anipe muongozo tafadhali... Shukran. Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana JF. Mwenye kufahamu wanao safirisha mizigo kama vitanda, fridge, jiko nk) anipe muongozo tafadhali... Shukran. Sent using Jamii Forums mobile app
kzba JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 1,355 Reaction score 793 Aug 24, 2018 #2 Trl na posta utavipata salama na kwa urahisi kabisi na bei cheee Sent using Jamii Forums mobile app
K kinyama nje JF-Expert Member Joined Jul 3, 2017 Posts 1,838 Reaction score 2,487 Aug 24, 2018 #3 kama uko dar nenda pale kkoo wana safilisha kwa kilo
ziloi JF-Expert Member Joined Apr 15, 2018 Posts 757 Reaction score 1,065 Aug 24, 2018 #4 Mkuu elezea vzr vnatoka wap kutoka wapi