Son of Sam Law

Son of Sam Law

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
8,311
Reaction score
12,202
Son of Sam Law au kwa kiswahili kisicho rasmi Sheria ya Mtoto wa Sam ni sheria iliyotungwa huko majuu kwa wenzetu kuzuia mhalifu kunufaika na uhalifu wake kupitia mauzo ya filamu, vitabu au hatimiliki ya historia yake!.
Hii ni sawa na kusema letsay leo nimtafute Scorpion anipe historia ya alichokifanya kwa bwana yule then me niiandikie kitabu au niitengenezee filamu kuihusu halafu mapato kutokana na mafanikio ya mauzo yake tugawane na mhusika (Scorpion).

Najua kwa Tanzania sheria hii haipo sasa basi je unahisi ni matukio gani ya Kutisha/Kuogofya/Kufurahisha/Kuumiza ambayo yametokea kiuhalisia Tanzania yanayostahili kuandikiwa vitabu au kuigizwa filamu!?.

NB: me ningependa kusoma kitabu A-Z upigaji hadi uchomaji wa BOT miaka ile uliopelekea noti kubadirishwa fasta!.
 
Matukio ya mkoa wa Kagera na majina ya mitaa/vitongoji vyake
 
Jamani
Sema kweli mkuu kwa nn moyo unakulipuka


Kwa kweli bado nipo Njia panda kwa kile kinachoendelea mtimani mwangu. Sitaki kuamini lakini hali halisi inaonyesha ugeni mkubwa moyoni mwangu
 
Sawa mkuu wangu ukipata jibu kwa nn moyo unakulipuka utaniambia
Kwa kweli bado nipo Njia panda kwa kile kinachoendelea mtimani mwangu. Sitaki kuamini lakini hali halisi inaonyesha ugeni mkubwa moyoni mwangu
 
Ni ugeni gani huo ambao unauona moyoni mwako halafu mm naogopa hiko kiumbe kwa avatar yako na jina lako linanitisha usiwe unafanana na kaka angu mshana jr


Mkuu Ugeni huu licha ya kunishtua lakini pia unanipa shauku ya kuchukua uamuzi. Uamuzi bora kwa moyo wangu wenye manufaa kwa mwanamke mzuri kama wewe.

Avatar haina uhalisia na Mimi mwenyewe Hivyo hofu isikupepea kunako wako mtima.
 
Back
Top Bottom