Serikali Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Line Za Simu

Serikali Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Line Za Simu

Iyegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
6,276
Reaction score
12,424
Serikali Imetoa Ufafanuzi Kuhusu Tamko Lake La Awali Kuhusu Umiliki Wa Line Za Simu.Tamko La Awali Lilieleweka Kuwa Mtu Anatakiwa Kuwa Na Line Moja Tu Ya Simu.

Ufafanuzi Huo Umesema Kuwa, Ni Line Moja Kwa Mtandao Mmoja Wa Simu!

Chanzo: ITV HABARI
 
Wamebugi bado.
Kwanini wanikwaze mimi ninayetaka kuwa na laini moja ya voda (simu yangu) laini nyingine ya voda (watoto wangu nyumbanj plus beki tatu) laini nyingine ya voda kwenye (modem ya voda), au ndio kunilazimisha ninunue laini ya TTCL?
 
Wasituingilie kama vp wangekataa toka mwanzo
 
watu kubadili maneno aiseee wako vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,
Sio kubadilisha maneno. Ignorance, watanzania asilimia kubwa hawana elimu hivyo uelewa ni mdogo hapati maagizo yalitolewa kwa umakini na kuyaelewa kisha mtu huyu ndiye mpashaji mkuu.
Ukiwatathmini watanzania kwa umakini, kama ingewezekana wote wangekuwa waandishi wa habari kama ingewezekana....wanapenda ushuhuda!
Marekani alishangaa Bomu la ubalozi wa marekani hapo Laibon badala ya kukimbia janga wanakimbilia janga ili wawe na la kuwajuza wasioona. Habari zinazotoka kwa mashuhuda zinakuwa za upotoshaji.
Radio mbao ni nyingi ndio sababu taarifa za kipuuzi nyingi!
 
Na waliokua hawajaelewa str8 up wakafikia kupongeza na kuponda umiliki line zaidi ya moja.

Na nyuzi zikaanzishwa.

Kisha ufafanuzi umekuja wamechochora.
 
Mimi nilishawaambia kule juu tuna mataahira mengi mno!!
 
Baadaye watakuja na tamko .....kila mwanaume mke mmoja.....halafu ufafanuzi utakuja. Unaruhusiwa mke mmoja na mchepuko mmoja.
 
Back
Top Bottom