Kwanza nitoe pongezi zangu kwa mamlaka ya mawasiliano kwa kudhibiti uonyeshaji holela wa chanel za ndani kwa makampuni ambayo hayana mkataba wa kuonyesha chaneli hizo.
Pili naipongeza hatua hii...
Hili swali nimeulizwa na madogo hapa kota ninakokaa baada ya helikopta kupita chini chini wakawa wanaishangilia ndipo alipotoka dogo mmoja akaniuliza helikopta inatumia mafuta gani?
Nilitaka...
Hapa no watumishi wote wa serikali na wàsio
Mshaharà Halali utaubajtia na utakuvusha japo kwa kuunga unga hadi mwezi mwingine
Ila hela ya rushwa haina furaha,hela yote na dhahabu ñi vya Mungu...
Siku moja iliyopita nileleta mada hapa JF nikihoji kama madikteta si watu ambao ni wagonjwa wa akili na baada ya maelezo kadhaa nili-conclude mada yangu kwa assumption hii:
"All dictators are...
Kuna vipaji huku pia nenda Ngara msikilize Kanyesha Faustine Kwizera FM,nenda jijini Dodoma Kifimbo FM Kuna Izack Zungu,Divine FM kuna Helen Poul na kadhalika
Ombeni Demo mtumiwe
Sio kukaa mjini...
Wakuu naendelea na ziara ya kuzuru maeneo mbalimbali ya Dunia, na sasa nipo nchini Bolivia.
Wenyeji wa hapa ni wakarimu sana. Ila kwenye pitapita nikasikia sakata linaloendelea la gavana wa jimbo...
Mimi Ni muislamu naelewa ninachoandika kabisa wala sikutumwa.
Nazungumzia waarabu na sio wazungu kwa sababu anaposemwa muarabu alikuwa katili nadhani waisalmu wenzangu wanachoelewa kwamba...
Habar wanajamii
Kama mada inavyosema hapo juu. Hili ni bandiko linalobandikwa kwa vilevi kwa asilimia kubwa kwanini halisimamiwi na Serikali?
Nimeona kwenye sinema za wenzetu wakiomba...
Mganga wa kienyeji Itale Lunyeka ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kumpiga hadi kumuua mgonjwa wake Mbeshi Paulo, kwa sababu ya deni la shilingi 3000 alizokuwa akimdai.
Kamanda wa polisi mkoa wa...
Siku chache baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola kumweka mahabusu Mkuu wa Kituo cha Polisi Mtwara mjini, Ibrahim Mhando, leo Jumanne Agosti 28, 2018 amesema ataendelea na...
Huu ndio ukweli habari nyingi za jf ndio magazeti wanadesa karibu kila habari nchi hii utakayoiona kwenye magazeti ujue jamiiforums kuna 90% ukaikuta na walio wengi huanza siku na sala au swala ya...
Kwa kweli CRDB Simbanking ni kimeo kabisa! Usije ukaiamini! Wanakuwa offline kwa masaa 12 na bado hawana maelezo! Mnaparamia teknoloji mnatulaza njaa tunashidwa kufanya miamala! Ovyo sana
Wanajamii foruma
Poleni na majukumuu yenuu ya kulijenga taifa letu pendwaa sana la Tanzania
Kwa kifupii nalipenda sana Taifa languu la Tanzania ni watu wachache tuu wananifanya niwe na chuki na...
Siku moja nilitupa jiwe na kwa bahati mbaya likampiga bata mzinga na akafa palepale. Japokuwa nilikuwa peke yangu lkn ghafla nilimwona dada yangu nyuma yangu akinitazama. Na akaniambia nimpe elfu...
SASA imedhihirika kwamba jamaa huyu hawezi kushughulikia lolote; na hawezi kupambana na mikikimikiki. Anaweza tu kuzunguka huku na kule, akisukumwa na kuelekezwa kama kipofu.
Ndivyo...
Naona wanachelewa sana kutoa majina ya walio dahiliwa vyuo mbalimbali, sasa nilitaka kujua kama wana kazi na majukumu mengi sana kiasi cha kushindwa kukamilisha majukumu yao kwa wakati
Hapa BongoLand kila mtu huwa anajua kila kitu.
Ni nadra sana kusikia mtu anakwambia 'hiki sikijui'… Udalali wa taaluma za watu huko mtaani unakuja kwa kasi sana.
Mtu anakubali kupewa kazi...